Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 12,347
- 11,388
Mafundi tumegundua kwamba tigo wamekata mawasiliano kwenye simu aina ya tecno (Android Phones) ukituma imei za hizo simu TCRA zinatambuliwa
Huu ni uongo mbona wapo weng wanatumia simu za tecno na line ya tigo had leoMafundi tumegundua kwamba tigo wamekata mawasiliano kwenye simu aina ya tecno (Android Phones) ukituma imei za hizo simu TCRA zinatambuliwa
Mkuu usibishe bila kuutafuta ukweli. au wew ni pro tigoHuu ni uongo mbona wapo weng wanatumia simu za tecno na line ya tigo had leo
ni kweli weka line nyingine ya mtandao tofauti simu itafanya kaziMimi mwenyewe jana nimeshangaa ghafla haifanyi kazi, alaf napiga simu huduma kwa wateja wananambia eti nika renew without giving me reason why ime collapse.
Nimefika tigoshop jana kuna watu wengi wenye kesi kama hizo halaf tigo hawasemi kwa nini imekataa kufanya kazi yani ukiwambia tu wanakwambia toa 2000 u renew. yani jana wamenikera.
Bt mimi natumia Huawei
Mkuu nikiweka na ilifanya kazi, lakini ile lajn yangu ya tigo nimehamishia simu nyimgine imekataa kusoma.ni kweli weka line nyingine ya mtandao tofauti simu itafanya kazi
Sio kweli kabisa, maelezo yako yanaonekana unataka kuharibu biashara za watu tuu. Acha wivu labda umetumwa.Mimi mwenyewe jana nimeshangaa ghafla haifanyi kazi, alaf napiga simu huduma kwa wateja wananambia eti nika renew without giving me reason why ime collapse.
Nimefika tigoshop jana kuna watu wengi wenye kesi kama hizo halaf tigo hawasemi kwa nini imekataa kufanya kazi yani ukiwambia tu wanakwambia toa 2000 u renew. yani jana wamenikera.
Bt mimi natumia Huawei
Simple sana tupa laini ya tigo tumia mitandao mingine best.Mimi mwenyewe jana nimeshangaa ghafla haifanyi kazi, alaf napiga simu huduma kwa wateja wananambia eti nika renew without giving me reason why ime collapse.
Nimefika tigoshop jana kuna watu wengi wenye kesi kama hizo halaf tigo hawasemi kwa nini imekataa kufanya kazi yani ukiwambia tu wanakwambia toa 2000 u renew. yani jana wamenikera.
Bt mimi natumia Huawei
Nina wasi wasi na uwezo wako wa uelewaSio kweli kabisa, maelezo yako yanaonekana unataka kuharibu biashara za watu tuu. Acha wivu labda umetumwa.
Wewe tuu ndio wakujibu hivyo, mbona wenzako wanatukaribisha vizuri , hadi huwa nafurahia tuu kwenda shop za tigo just kuwaona tuu wale wadada walivyo wakarimu.
Ni haki yako kuwa na wasiwasi kwani hiyo ni sehemu ya maisha yako.Nina wasi wasi na uwezo wako wa uelewa
Utakuwa kwenye ile list alitoa baba j ya vil.....zaNi haki yako kuwa na wasiwasi kwani hiyo ni sehemu ya maisha yako.
Mbona nimekuchanganya kiasi hicho mkuu, tulia mkuu, jiamini , kichaa siku zote anao wengine wote ni vichaa kasoro yeyeUtakuwa kwenye ile list alitoa baba j ya vil.....za
Tatizo siyo laMkuu nikiweka na ilifanya kazi, lakini ile lajn yangu ya tigo nimehamishia simu nyimgine imekataa kusoma.
eti nime renew lain nimeiweka the same phone inasoma vizuri
ni kweli siyo zote nimeona kwenye tecno M3,H6,H3Sio zote ni lkn
Kuhusu renew siyo sababu kwani ukiweka hata ya mtu mwingine haifanyi kazi niletewa ili nitengeneza then made a brain stormingJe uki renew itakubali?