Linah....

Linah....

....ngoja nicheke kwanza. Umeua wakati wewe ndo "mwanangu" wake

Na wale watoto wetu wa kike, sijui nitaambiwa tuwazae nyumbani tu au?

Hahaaaa 'mwanangu' mwenyewe yule, kisha sijamuona tupaeni strategies ujue.

uwazalie nyumbani na mkunga wa jadi mie ntawatafutia kabisa, maana hamueleweki

nitafutie basi hiyo nyimbe aisee...
 
Hahaaaa 'mwanangu' mwenyewe yule, kisha sijamuona tupaeni strategies ujue.

uwazalie nyumbani na mkunga wa jadi mie ntawatafutia kabisa, maana hamueleweki

nitafutie basi hiyo nyimbe aisee...

hahaha ma strategies si ndo kama hayo.....:lol:

Nyimbo nakutaftia na kabla ya jogoo hajawika mara tatu, utaipata JF
 
  • Thanks
Reactions: bht
dah ndege mnana linah namkubali huyooo!
afu amekuja kuwaburudisha wabeba maboksi uko, jiandae NN!

Unapenda michiriku wewe? Hiki kitu cha Ferooz na Shaz Dear nakizimia sana

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom