Linah....

atatamani niwe wake eeeeeh
tili lili lili lili

hivi kuna dawa ya sauti?, siwezi hata kuimba neno moja
 
najua kama umelala...huu wimbo ni wa msiba lakini watu wanaupenda kuusikiliza usiku...
ooops!niko nje ya mada.
 
dah ndege mnana linah namkubali huyooo!
afu amekuja kuwaburudisha wabeba maboksi uko, jiandae NN!
 
Mbali ya nyimbo ya Linah na Mwana FA ya taarab kaimba na ipi tena vile?

Mie nataka anifanyie hii remix



Kauli natoa, lolote na liwe
hata wakijua, nitaishi nae
Na ukitakiwa, rahisi usiwe
 
Last edited by a moderator:
kuna nyimbo moja ya taarab ya zamani Linah kairudia, naipenda sana

'nataka kunena niwafahamishe...
naona fitina mmezizidisha....

kisha kiitikio

ni bure zenu fitina, na wala hatuzijali
wenyewe tunapendana, kuachana ni muhali...
 
hahaha wa Serena wapi? Mama Ntilie :lol:

yule mliambiana mnata tu kidate cha kwanza lunch mna dutch...
kumbe kwa mama nitilie, tena nijazie:A S embarassed:
(mwende na ndizi na pili pili kabisa)
 
yule mliambiana mnata tu kidate cha kwanza lunch mna dutch...
kumbe kwa mama nitilie, tena nijazie:A S embarassed:
(mwende na ndizi na pili pili kabisa)

....ngoja nicheke kwanza. Umeua wakati wewe ndo "mwanangu" wake

Na wale watoto wetu wa kike, sijui nitaambiwa tuwazae nyumbani tu au?
 
  • Thanks
Reactions: bht

Similar Discussions

Back
Top Bottom