Limbwata la gundi na kamba

Huyo bidada anatumia ipasavyo silaha yake ya asili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona vyema Zionist!

Hakika kama hatumii haya malimbwata atakuwa anatumia hilo bomu lake la asili linalosambaratishaga wanaume wengi wenye nguvu.

Maana japo siko karibu sana na huyo boss wangu kiasi cha kujua mambo ya familia yake, lakini nasikiaga eti walishashindwana na mke wake wa ndoa. Hivyo kama ulivyo pendekeza inawezekana kabisa akawa anatulizwa kimtindo na siraha ya asili ya madam mkurungezi wa HR department yetu.
 
Unatumia ndele

Jr[emoji769]

Mshana naomba nikuulize, nasikia kuna uchawi ambao mwanaume ukifanyiwa, hata kama ww mwanaume ni handsome, una hela, na nguvu za kiume unazo, utakuwa haupati demu wala mke, yani kila mdada unaemtongoza anakukataa, unaishia kuponea kwa Malaya wanaojiuza, naomba utolee topic kuhusu hili swala. Mshanajr
 
Pole mkuu,lkn kuhusu kukataliwa na wanawake wote au hauna swaga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humpati mtu hapa.
 
Kuna uwezekano hata wanaojiuza wakawa wanakupandishia dau au kukupa masharti yanayokukwaza teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh![emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…