Eeeh raha ya mwanaume awe na sauti.... Akiongea mtu ujue Kuna mwanaume anaongea, sio jitu lipo tu kama msukule kila kitu ndio.... Mambo gani hayaAiseee
Labda nimfunge boss tuu sio babe wangu! Nataka awe mkali kidogo, nikikosea anikemee kwa upendo mambo ya kumburuza sitaki kabisaa!





nakuombea sana na kama akijaribu nitakujulisha
Dah! Mungu anisaidie aisee! Baharia mimi!
Mke wangu mtarajiwa usishawishike na huu uzi wa Mshana Jr!
Naomba sana nisije kupata mke mpenda haya mambo ya gwiji wa kilingeni hapa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app

Kashawekwa kwenye chungu huyo... Mpelekeni kwenye maombi tuJamaniiii hili ata kuwa kafanyiwa mtu wangu wa karibu sana! Hasemi kitu kwa mkewe ana achwa nyumbani mke aba rudi usiku wa manane kalewa chakari na ana fungua gate! Ana achiwa mtoto wife ngomani hukooo! Ndugu tume baki kuduwaa! Ukijaribu kuongea ana kukasirikia
Dada unataka kuwa mchawi?Nitafutie mdoli wa kike basi umfunge hiyo kamba
Hiko kimwanamke kina dhambiNdugu wote wame kaa kando mke kavurugana nao! Je bila kufunguliwa ata kuja kurudi kawaida au ndiyo basi tena? Yaani amekuwa kama ana ogopa ndugu haji hata misibani na cm hapokei! Ni mimi tuu ndiyo naelewana kiasi na huyo bibie! Ila siyo mke wa kwanza alimtoa mwenzie! Kamfanya baba mpka ana mkataa mwanae ambaye ame mkuta huyo mama! Juzi graduu ya mtoto ana maliza chuo mzee hakwenda na cm kazima kabisa! Yaani mambo ni mengi haya ni baadhi!
Kabisa Zesh. Familia inayoogozwa na mwanaume ndiyo familia nzuri na inapendeza hata machoni pa jamii.Eeeh raha ya mwanaume awe na sauti.... Akiongea mtu ujue Kuna mwanaume anaongea, sio jitu lipo tu kama msukule kila kitu ndio.... Mambo gani haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unaiweza hii kazi ya kuwazindua waliozindikwa?Nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa watu wengi wakiniomba nitoe somo kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya uchawi huu pamoja na kuwazindua watu ambao tayari wamelishwa uchawi huu.
Baadhi ya vitu na vijuaKwahiyo unaiweza hii kazi ya kuwazindua waliozindikwa?
Haya, well-done, tutakutafuta ili utuangalie hata sisi tusiojua kama tumezindikwa malimbwata au lah. Ili tuwe na uhakika.Baadhi ya vitu na vijua
Sent using i phone x
Ni mpaka agutuke na kufunguliwa ndio ataona ukweli
Jr![]()
Kkkkkkkk,duh!Niko kijijini kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka lakini pia nikiendelea kutafiti maarifa mapya na utaalam wa nguvu za giza, ushirikina na ulozi kwa matumizi chanya ya kilinge... Nia ikiwa ni kuwasaidia wahitaji.
Hizi habari za malimbwata kwa ajili ya kumshika mpenzi, mke au mume... Na wengine huenda mbali zaidi... Kwa ajili ya kumshika mwajiri au boss si ngeni kabisa masikioni mwetu... Na malimbwata maarufu yakiwa ni kwa kutumia vyakula na vinywaji.
Kuna hili limbwata baya zaidi.. Limbwata la kutiwa gundi mdomoni au kufungwa kamba.. La kutiwa gundi mdomoni hilo sahau kutongoza nje ama kuwa na kibezi mbele ya mwenza wako... Hapa mhitaji akifika kwa mganga hupewa kinyago chenye umbo la kiume na gundi ya maji au plasta.. Mhusika huelekezwa kukitia gundi mdomoni ama kukiziba na plasta huku akinuia kwa kutaja jina la mtu wake
Ukiachana na hilo la gundi kuna hili la kamba.. Kuna kamba kama za aina tatu hivi
Kamba laini
Kamba ngumu
Kamba ngumu na nzito
Aina ya kamba hutegemea na uimara kiroho wa mhusika anayetaka kufanyiwa... Mhitaji akifika kwa mganga atapewa kinyago chenye umbo la kiume na kamba husika.. Kamba hiyo atatakiwa aifunge shingoni, au miguuni au mikononi... Lakini pia inaweza kufungwa kote kwa pamoja huku akinuia
Baada ya hapo aliyefungwa hatakuwa na sauti tena kwenye lolote.. Atakuwa ni mtu wa kuamrishwa na kufuata maelekezo tuu... Utaburuta na kuburuza utakavyo.
Hili la kamba hutumika pia kufunga sehemu za siri za jinsia zote... Mwanamke akifungwa ndoa inaweza hata kusambaratika kwakuwa anakuwa hana hamu tena. Akifungwa mwanaume hupata ukhanithi.
Vikambakamba vipini pini na vigundigundi kwenye mapochi sio vitu vizuri sana
. View attachment 1304613View attachment 1304614
Jr![]()