Cc Mshana JrMkuu Fafanua Vzr Nilazima Kwenda Kwa Mtaalamu Au Unaweza Fanya Mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eehEeeh raha ya mwanaume awe na sauti.... Akiongea mtu ujue Kuna mwanaume anaongea, sio jitu lipo tu kama msukule kila kitu ndio.... Mambo gani haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Fafanua Vzr Nilazima Kwenda Kwa Mtaalamu Au Unaweza Fanya Mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bidada anatumia ipasavyo silaha yake ya asili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda hata mkurugenzi wa HR department kwenye taasis yangu alimfanyia boss wetu hayo. Yule mdada mzembe, kazi za ofisi yake nyingi haziendi zimelala. Kazi ndogo anaweza kukaa nayo zaidi ya miaka miwili lakini boss anaona sawa. Wakati watu wa idara nyingine anafuatilia sana ufanyaji kazi wao.
Kaka wizard Mshana Jr heshima yako
Hvi mshana unajua uchawi wa radi?? Nataka nijue kitu hapo, there is something happened, i relate it with..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Sio Kwania Mbaya Tupeane Ujuzi TuMmh sishauri ufanye haya popote
Jr[emoji769]
Kweli bro una machale, hivi yule shem wetu mpendwa mlietemana kiroho safi ulimchungulia kwenye darubini ukamuona anakutayarishia la gundi nini [emoji3][emoji3][emoji3]....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera boss, hivi uchawi wa kupiga mafundo ndo huu wa limbwata ?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109]
Jr[emoji769]