Kote kote.
Njia za kukomaa?Komaa kwanza
Jr![]()
Ni kwa NEEMA tutakombolewa na kuokoka
Jr![]()

mwanaume akorome bwana.Fanya maombi kwa ajili yake atakuwa sawa tu huyo.Unaanzaje ana kimbia ndugu! Hata misibani haji cm hapokei ukienda kwake hufunguliwi gate au una ambiwa hayupo!
Ujaitwa mchawi wewe, au jiwe limempata mhusika, unaogopa kunaswa. Kama siyo mhusika unaumia nini hadi unapiga makelele yote hayo. Acha ukamatwe mshirikina mkubwa wewe!Unaonekana unapenda mambo hayo kujikwaa tu unawaza apa nimezindikwa, watoto wako akili nzito kama wazazi wao unawaza jirani kanifanyizia.......mawazo ya kimasikini kabisa
Aiseee
Labda nimfunge boss tuu sio babe wangu! Nataka awe mkali kidogo, nikikosea anikemee kwa upendo mambo ya kumburuza sitaki kabisaa!
Usijali
🤣 🤣 🤣 🤣 kwamba maisha yako ni ndani ya konyagikumbe ndio maana naipenda sana
Jr![]()
Mbona povu, mbona mshirikina! Yaan mwenye kuwaza ushirikina sjui huwa namuonaje!Ujaitwa mchawi wewe, au jiwe limempata mhusika, unaogopa kunaswa. Kama siyo mhusika unaumia nini hadi unapiga makelele yote hayo. Acha ukamatwe mshirikina mkubwa wewe!