Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Unaanzaje ana kimbia ndugu! Hata misibani haji cm hapokei ukienda kwake hufunguliwi gate au una ambiwa hayupo!

HuhPlease say it again!
HahahahahaNilikuwa nimeshaanza mchakato
Jr![]()
Nakazia mimi jamani!Eeeh raha ya mwanaume awe na sauti.... Akiongea mtu ujue Kuna mwanaume anaongea, sio jitu lipo tu kama msukule kila kitu ndio.... Mambo gani haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha

Nakazia mimi jamani!
Sijui hao wanaowapa limbwata wanawaza nini!!
Mwanaume akiwa na sauti nyumba ina raha na maadili yake!! Hao wapole saaana wala siwataki
Umeona eeehh!Wapole kichomi.... Mwanaume raha yake afoke foke kidogo hapo mwanamke utahisi umeonewa utajinunisha utabembelezwa basi huku unajilizaliza..... Sio mwanaume akiambiwa na mwanamke achaaaa basi kaacha....
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioUnataka kuwa mchawi?
Jr![]()
Mchawi habari za christmas kaka mkubwa?Niko kijijini kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka lakini pia nikiendelea kutafiti maarifa mapya na utaalam wa nguvu za giza, ushirikina na ulozi kwa matumizi chanya ya kilinge... Nia ikiwa ni kuwasaidia wahitaji.
Hizi habari za malimbwata kwa ajili ya kumshika mpenzi, mke au mume... Na wengine huenda mbali zaidi... Kwa ajili ya kumshika mwajiri au boss si ngeni kabisa masikioni mwetu... Na malimbwata maarufu yakiwa ni kwa kutumia vyakula na vinywaji.
Kuna hili limbwata baya zaidi.. Limbwata la kutiwa gundi mdomoni au kufungwa kamba.. La kutiwa gundi mdomoni hilo sahau kutongoza nje ama kuwa na kibezi mbele ya mwenza wako... Hapa mhitaji akifika kwa mganga hupewa kinyago chenye umbo la kiume na gundi ya maji au plasta.. Mhusika huelekezwa kukitia gundi mdomoni ama kukiziba na plasta huku akinuia kwa kutaja jina la mtu wake
Ukiachana na hilo la gundi kuna hili la kamba.. Kuna kamba kama za aina tatu hivi
Kamba laini
Kamba ngumu
Kamba ngumu na nzito
Aina ya kamba hutegemea na uimara kiroho wa mhusika anayetaka kufanyiwa... Mhitaji akifika kwa mganga atapewa kinyago chenye umbo la kiume na kamba husika.. Kamba hiyo atatakiwa aifunge shingoni, au miguuni au mikononi... Lakini pia inaweza kufungwa kote kwa pamoja huku akinuia
Baada ya hapo aliyefungwa hatakuwa na sauti tena kwenye lolote.. Atakuwa ni mtu wa kuamrishwa na kufuata maelekezo tuu... Utaburuta na kuburuza utakavyo.
Hili la kamba hutumika pia kufunga sehemu za siri za jinsia zote... Mwanamke akifungwa ndoa inaweza hata kusambaratika kwakuwa anakuwa hana hamu tena. Akifungwa mwanaume hupata ukhanithi.
Vikambakamba vipini pini na vigundigundi kwenye mapochi sio vitu vizuri sana
. View attachment 1304613View attachment 1304614
Jr![]()
Hivi kuna namna ya kujinasua ?Niko kijijini kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka lakini pia nikiendelea kutafiti maarifa mapya na utaalam wa nguvu za giza, ushirikina na ulozi kwa matumizi chanya ya kilinge... Nia ikiwa ni kuwasaidia wahitaji.
Hizi habari za malimbwata kwa ajili ya kumshika mpenzi, mke au mume... Na wengine huenda mbali zaidi... Kwa ajili ya kumshika mwajiri au boss si ngeni kabisa masikioni mwetu... Na malimbwata maarufu yakiwa ni kwa kutumia vyakula na vinywaji.
Kuna hili limbwata baya zaidi.. Limbwata la kutiwa gundi mdomoni au kufungwa kamba.. La kutiwa gundi mdomoni hilo sahau kutongoza nje ama kuwa na kibezi mbele ya mwenza wako... Hapa mhitaji akifika kwa mganga hupewa kinyago chenye umbo la kiume na gundi ya maji au plasta.. Mhusika huelekezwa kukitia gundi mdomoni ama kukiziba na plasta huku akinuia kwa kutaja jina la mtu wake
Ukiachana na hilo la gundi kuna hili la kamba.. Kuna kamba kama za aina tatu hivi
Kamba laini
Kamba ngumu
Kamba ngumu na nzito
Aina ya kamba hutegemea na uimara kiroho wa mhusika anayetaka kufanyiwa... Mhitaji akifika kwa mganga atapewa kinyago chenye umbo la kiume na kamba husika.. Kamba hiyo atatakiwa aifunge shingoni, au miguuni au mikononi... Lakini pia inaweza kufungwa kote kwa pamoja huku akinuia
Baada ya hapo aliyefungwa hatakuwa na sauti tena kwenye lolote.. Atakuwa ni mtu wa kuamrishwa na kufuata maelekezo tuu... Utaburuta na kuburuza utakavyo.
Hili la kamba hutumika pia kufunga sehemu za siri za jinsia zote... Mwanamke akifungwa ndoa inaweza hata kusambaratika kwakuwa anakuwa hana hamu tena. Akifungwa mwanaume hupata ukhanithi.
Vikambakamba vipini pini na vigundigundi kwenye mapochi sio vitu vizuri sana
. View attachment 1304613View attachment 1304614
Jr![]()
Umewaza deeep sanaaa.Nadhani DAB haya mavitu anayaaply sana kwa boss wake