Limbwata la gundi na kamba

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji123][emoji116][emoji109]
Mkuu si unajua lkn..mm nataka kuwa mwanafunzi wako mkuu Mshana Jr

Goite

Jr[emoji769]
 
Nshawahi nkukuta kimdoli cha udongo kwenye wallet ya mke wa uncle sasa naelewa [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3] .
Af ni mtu wa hukohuko ulipo Mshana Jr
sema yeye kwao ni vijiji vya huko juu zaidi wanakolima lima mboga mboga sanaaa.[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bidada anatumia ipasavyo silaha yake ya asili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana Jr mimi nitakuwa nimefanyiwa ipi, maana siku hizi najihisi kumtamani kila mwanamke mzuri, na kibaya zaidi hawakatai asilani labda niamue kuhurumia hela yangu tu.

Na nifanyeje ili kutegua ulozi huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli bro una machale, hivi yule shem wetu mpendwa mlietemana kiroho safi ulimchungulia kwenye darubini ukamuona anakutayarishia la gundi nini [emoji3][emoji3][emoji3]....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli bro una machale, hivi yule shem wetu mpendwa mlietemana kiroho safi ulimchungulia kwenye darubini ukamuona anakutayarishia la gundi nini [emoji3][emoji3][emoji3]....?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…