Limbwata la gundi na kamba

Eeeh raha ya mwanaume awe na sauti.... Akiongea mtu ujue Kuna mwanaume anaongea, sio jitu lipo tu kama msukule kila kitu ndio.... Mambo gani haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia mimi jamani!
Sijui hao wanaowapa limbwata wanawaza nini!!

Mwanaume akiwa na sauti nyumba ina raha na maadili yake!! Hao wapole saaana wala siwataki
 
Wapole kichomi.... Mwanaume raha yake afoke foke kidogo hapo mwanamke utahisi umeonewa utajinunisha utabembelezwa basi huku unajilizaliza..... Sio mwanaume akiambiwa na mwanamke achaaaa basi kaacha.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia mimi jamani!
Sijui hao wanaowapa limbwata wanawaza nini!!

Mwanaume akiwa na sauti nyumba ina raha na maadili yake!! Hao wapole saaana wala siwataki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona eeehh!
Mwanaume awe mkali jamani!
 
Mchawi habari za christmas kaka mkubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna namna ya kujinasua ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…