Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

Ni waambieni Kitu zile Email zilikuwa za kweli. Ccm walijua ZZK anawasaidia alipoenda Mwanza ndio wakajua kumbe jamaa anakula huku na huku. Anakula Ikulu na Anakula kwa Lowasa. Kwahio wameona jamaa ni nyoka.Sasa wamemgeuka ndio maana wameamua kumtetemesha Makusudi ili mpango wa kuendelea kumtangaza Lowasa Ufe. Ussicheze na Rizione pale anapomtaka Lazma Membe awe Rais.
 
Jamani mwachen Faiza Foxy Mi nimempenda amejipambanua kuliko Malumumba mengine. Safu Faiza. Kwenye Ukweli lazima useme. Anampendeleaje Lowasa pekee wakati katumwa na Chama?.
 
Hizo ni porojo zenu, kama Zitto katumika na CCM basi ujuwe ni kama tambara bovu la kupigia deki likiisha kazi yake linatupwa, halioshwi.

Nilichomsuta ni kipi? na hapa kuna mada ya Limbu na mimi nasema ukweli kama Limbu anasema ukweli basi akomae na Zitto kwani itakuwa si uungwana kitendo alichokifanya, au hilo kwako ni tatizo kuelewa?

Hawa wanasiasa maslahi, ni kama Slaa tu, unafikiri kwanini aliihama CCM, si baada ya kupigwa chini kugombea ubunge? sasa wana tofauti ipi na Mbowe amabae anag'ang'ania madaraka mpaka kachakachuwa katiba na Zitto si halikadhalika? kenda kajipachika cheo hata hakijulikani duniani, ili nini asiwe kwenye nafasi za kuchaguliwa! wote ni aina moja tu.

Maslahi yao binafsi yako mbele kuliko ya Mtanzania wanaedanganya wanamtumikia.

Huwez kuacha kuchagua mabadiliko kwa kuhofia et watu ni wale wale....kuna watu kumuangalia uson unamwona kuwa he is just a Patriotic.eg Dr. Slaa..kuna watu kumuangakia uson tu unajua ths is a hypocrisy and betrayel eg --------- zzk so kumfananisha Dr.slaa na msalit zzk ni dhambi kubwa labda km umeamua kufanya siasa tu other way your wrong sister
 
Last edited by a moderator:
mbona mlikuwa mnasema ni cha zitto mara ni cha lowasa tujue lip?

Zitto alipo ona janja yake ya kuanzisha chama chake cha ACT Tanzania imegunduliwa,aliamuwa kujipachika nafasi ya kiogozi mkuu wa chama nafasi ambayo haikuwepo na kubadilisha baadhi ya maneno na kuwa ACT wazalendo badala ya ACT Tanzania.

Ili kuzuga kuwa hakuwa ameanzisha chama akiwa ndani ya chama kingine bali amekwenda kujiunga kwenye chama ambacho mwenyewe hakushiriki kukianzisha.

Zitto mwenyewe wakati ana jiunga na chama kilikuwa kinaitwa ACT Tanzania,mara hapohapo kimesha badilika na kuitwa ACT wazalendo.

Kwa muda mfupi mfupi na haraka haraka hii unashindwa kuelewa taratibu za kukibadilisha chama kilicho sajililiwa kwa jina la ACT Tanzania na mara kimekuwa ACT wazalendo zilifanywa saa ngapi.

Na kama ni chama kipya katiba ya chama ili andikwa saa ngapi ili pelekwa kwa msajili lini,kilipata usajili wa muda lini?.

Mbali na Zitto kuwazuga wale waliokuwa wanasema Zitto kaanzisha chama akiwa ndani ya chama kingine.

Inaonekana Zitto ana takakuwakimbia wale aliowakabidhi kuiongoza ACT Tanzania kwa muda ili atakapokuja wa muachie nafasi hiyo,na wao baada ya kunogewa na utawala hawakuwa tayari kumuachia Zitto nafasi hiyo na wakati huohuo shida ya Zitto ilikuwa ni chama ambacho atakiongoza yeye mwenyewe.

Hivyo aliona kuwa njia pekee ya kuwakimbia wale waliokataa kumwachia uongozi wa chama cha ACT Tanzania ni kubadilisha jina na kuwa ACT wazalendo ili aonekane kuwa kawachia chama chao na hawatampigia kerere tena.
 
Huwez kuacha kuchagua mabadiliko kwa kuhofia et watu ni wale wale....kuna watu kumuangalia uson unamwona kuwa he is just a Patriotic.eg Dr. Slaa..kuna watu kumuangakia uson tu unajua ths is a hypocrisy and betrayel eg --------- zzk so kumfananisha Dr.slaa na msalit zzk ni dhambi kubwa labda km umeamua kufanya siasa tu other way your wrong sister

"Patriotic" aliyekosa maadili? aliyepora mke wa mtu kinyme na mafundisho ya kanuni alizosisomea, aliyepandishwa mahakamani kwa kutelekeza watoto, anaesema atahalalisha gongo! ni mwehu tu ataemchaguwa huyo kuwa Rais wa Watanzania.
 
Hahahahaaa hapa napo Chadema ipo? Maana hamkawii nyie....Chama kina Kadi tatu tofauti, Katiba mbili na Nembo mbili? Kweli Hahahahahhhaaa hili sio genge sasa hili ni denge tena dengerua MANI zumbemkuu BAK tpaul kujeni pande hii
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaaa hapa napo Chadema ipo? Maana hamkawii nyie....Chama kina Kadi tatu tofauti, Katiba mbili na Nembo mbili? Kweli Hahahahahhhaaa hili sio genge sasa hili ni denge tena dengerua MANI zumbemkuu BAK tpaul kujeni pande hii.
Ngoja ninywe gahawa mie..,.. muda si mrefu tutawatambua kwa rangi zao na matendo yao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Zitto - ndiyo kimeshanuka!! la kuvunda...!!!!
 
"Patriotic" aliyekosa maadili? aliyepora mke wa mtu kinyme na mafundisho ya kanuni alizosisomea, aliyepandishwa mahakamani kwa kutelekeza watoto, anaesema atahalalisha gongo! ni mwehu tu ataemchaguwa huyo kuwa Rais wa Watanzania.
inawezekana wewe ndiyo uliachika!! maana kila siku point yako ni moja tu - DR kakuacha.

Pole sana!! tafuta wanaume wa kukuchukua hata humu JF wamo wengi tu ma singles.
 
Aiseee kishanuka tena chamani. Ngoja tusubirie uhalali wa jaji Mtungi, hilo ni doa kubwa sana aisee.

Cc Molemo
 
Last edited by a moderator:
inawezekana wewe ndiyo uliachika!! maana kila siku point yako ni moja tu - DR kakuacha.

Pole sana!! tafuta wanaume wa kukuchukua hata humu JF wamo wengi tu ma singles.

Lini alioa hata aweze kuacha? si mzinzi tu, mkosa maadili, halafu eti awe Rais wa Tanzania.
 
Kwa mantiki hiyo pia Zitto sio mwanzilishi wa ACT kama madai yenu, na kwa mantiki hiyo ccm hawahusiki na ACT chama kimeanzishwa na limbu, mmeona bavicha msivyokuwa na akili na jinsi mlivyo misukule yakufata upepo tu

Wewe mburula kweli.Kama unajitambua fuatilia ujue mhesh.Mwinyi aliukwaa vp urais.Zito alitaka kumfanya Limbu boya ashkilie nafasi ile then akiondoka CDM amwachie.Limbu kamchenjia dogo na unafiki wake.Dogo anataka mafalafala ndo awaongoze ili yeye awe kama Lulu, angalia mwenyekıtı wake, boya hana lolote ajualo kwenye politics.
 
Last edited by a moderator:
Jamani, wanasaikolojia chunguzeni akili za zitto, Kitila na Mwigamba hawa wanamatatizo makubwa sana.
 
= msajili

Yaani kama kuna jambo linanikera siku hizi ni huu uandishi wa kuweka 'r' panapotakiwa kuwekwa 'l' and vice versa is true, kwa mfano utakuwa mtu anaandika 'balidi' badala ya 'baridi' au habali badala ya habari,hata sielewi shuleni tunafundishwa nini siku hizi?
 
Mimi kila nikisoma uandishi huo namkumbuka sana Phillip Mulugo.
 
Back
Top Bottom