yasin Gahoile
Senior Member
- Apr 4, 2014
- 119
- 20
Kwani Zitto ana habari gani nzuri ya kuandikwa
km hana habar nzur ya kuandikwa kwann limuandike kila cku na km linakosa habar nzur za kuandika bs ni la kihuni
Kwani Zitto ana habari gani nzuri ya kuandikwa
Nitakuwa bega kwa bega na LIMBU kuhakikisha ACT TANZANIA inarudi
Kama vipi zzk aanzishe chama chake
mbona mlikuwa mnasema ni cha zitto mara ni cha lowasa tujue lip?
Gazet la mawio ni gazet lenye itkad za kishoga! Haiwezekani kila cku gazet liandike habari kuhusu Zitto tu.
Huyu Limbu atamaliza PESA YA MBOWE mwishowe akishindwa kukamilisha kazi -ATAUAWA NA MAFIA KENGEZA MBOWE
Huyu Limbu atamaliza PESA YA MBOWE mwishowe akishindwa kukamilisha kazi -ATAUAWA NA MAFIA KENGEZA MBOWE
Limbu komaa nae huyo Zitto anachofanya si uungwana kabisa. Anafikiria pesa ndiyo kila kitu.
Si aanzishe chama chake.
Kwa hiyo mmeanza kumkana -------- zzk hata mwaka haujakishwa