Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

Kumbe Zitto hana chama kavamia chama cha watu, msaliti ni msaliti tu hawezi acha asili yake.
 
Limbu komaa nae huyo Zitto anchifanya si uungwana kabisa. Anafikiria pesa ndiyo kila kitu.

Si aanzishe chama chake.
Ametangaza mali. Ana tumilioni 18 tu. Kiinua mgongo kakikataa. Ni maskini wa kutupwa. Hana pesa kabisa. Vishamba vitano na kitalu cha gesi Ntwara. Sheikh Dau ndo huwa anampa ya mafuta siku moja moja
 
Imetosha imejulikana wazi kuhusu hicho chama na kadhalika zake , tuwaachie wenyewe sisi tuendelee kuchanja mbuga
 
Kwa mantiki hiyo pia Zitto sio mwanzilishi wa ACT kama madai yenu, na kwa mantiki hiyo ccm hawahusiki na ACT chama kimeanzishwa na limbu, mmeona bavicha msivyokuwa na akili na jinsi mlivyo misukule yakufata upepo tu

Na hao polisi wanaruhusije mikutano ya Zitto bila kuthibitisha usajili wa ACT Wazalendo?
 
Last edited by a moderator:
Naona nyuma ya Limbu kuna wapinga Lowasa. Na kama ndio hivyo Zito kwisha maregea. Limbu atarudishiwa chama chake Zito atabaki hewani anawayawaya hana pa kwenda. Kuvuja kwa email ya Zito kuliharibu mpango mzima. Chezea ccm weweee, wanakuua huku wanacheka na wewe.
 
Back
Top Bottom