Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

Ni jambo la kushangaza kwa watu wenye akili timamu kusikia Kijana amepora mali ya watu na kujimilikisha. Si uungwana hata kidogo katika macho ya werevu unakaribishwa katika Chama, baada ya hapo Unakipora, unabadili katiba, unajipa mamlaka ya juu kabisa, unabadili jina la chama cha watu. Tabia kama hizi ni wale waliokosa maono pekee ndio wataita Uzalendo. Wakati tunapinga ufisadi ni vema pia baadhi yetu tukajitathmini upya. Uporaji ni wizi pia. Watu walikutana, walitumia fedha zao na kuanzisha halafu mtu anakuja kupora.

unaongea kitu gani sasa hapa mkuu? Chama gan, kijana gan, kapora vipi? ....?...?....?
 
Jambo ingine ambalo baya kuliko yote ni kupora mke wa mtu tena wakati ukiwa padre uliwafungisha ndoa kanisani.

Ulikuwa ukiletewa kesi usuluhishe ili wanandoa wendelee kubaki mwili mmoja ukatuma udhaifu wa mwanamke kumpora kutoka kwa mumewe

Mbaya zaidi ukatangaza kufunga ndoa ukazuiwa mahakamani kwa aibu mpaka leo unamwita mchumba. Uzee wa miaka 70 na uchumba wapi na wapi
 
Mahaba ya ZITO yatakutoa roho punguza kupakatwa kila wakati.
 
Ni jambo la kushangaza kwa watu wenye akili timamu kusikia Kijana amepora mali ya watu na kujimilikisha.

Si uungwana hata kidogo katika macho ya werevu unakaribishwa katika Chama, baada ya hapo Unakipora, unabadili katiba, unajipa mamlaka ya juu kabisa, unabadili jina la chama cha watu.

Tabia kama hizi ni wale waliokosa maono pekee ndio wataita Uzalendo. Wakati tunapinga ufisadi ni vema pia baadhi yetu tukajitathmini upya. Uporaji ni wizi pia. Watu walikutana, walitumia fedha zao na kuanzisha halafu mtu anakuja kupora.

Lingineni ZITO alipokuja kigoma mwaka jana na milion mia tano akijinadi kuwa hizi zote nitawapa endapo mtanifanyia kazi ya kuua mtandao wa CDM.yeye ZITO anauita ni uzalendo!jamaa kiazi kweli.
 
Dr.anamaanisha Zitto Kabwe au ukipenda mwite Mhusika Mkuu wa usaliti ama Aya.toller wa chama alichokipora cha ACT-Tanzania na kukibadilisha.
Huyu mporaji ni kipoko,anaweza kuua familia yako yote pamoja na panya wake endapo utamletea za kuleta,katokea Kigoma mkuu
Nafikiri sasa utakuwa umemwelewa Dr.Godbless vizuri.
unaongea kitu gani sasa hapa mkuu? Chama gan, kijana gan, kapora vipi? ....?...?....?
 
tripu hii mpaka mtu ang'olewe korodani ndo mtatulia!! maana kila siku zzk,act!! mmeanza kutuboa bhana!!
 
Mlishieni LIMBU chama chake sio haki hiyo mliyofanya
ZITO yeye kila kitu ni kupora haya hoja ya escrow aliplra kasema alianzisha yeye kwa kumzingua juzi LHRS wamempa tuzo Kafulila ambaye ndo muanzilishi wa hoja na alibaki na msimamo sio zito kudandia hoja utadhani anadandia magari kwa kugawa kadi.
 
Jambo ingine ambalo baya kuliko yote ni kupora mke wa mtu tena wakati ukiwa padre uliwafungisha ndoa kanisani.

Ulikuwa ukiletewa kesi usuluhishe ili wanandoa wendelee kubaki mwili mmoja ukatuma udhaifu wa mwanamke kumpora kutoka kwa mumewe

Mbaya zaidi ukatangaza kufunga ndoa ukazuiwa mahakamani kwa aibu mpaka leo unamwita mchumba. Uzee wa miaka 70 na uchumba wapi na wapi
kubli sio kumegea mchepu tu balikuolewa li wena waue wawili sambmnbaAchei uukunyuku wa akili
Mbrura tunoatkubalina n uuma hio. Kwani huyo wamke ni kiroba? Mpka ana aliuwa bo anaishi na ewe akakuai kufngdoa bado hajijui kaa amelewa tayari na mtu mwingine? Ttuambiekama
 
Back
Top Bottom