nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 2,087
- 2,853
Kwani kesi ya msingi itatajwa lini?Ni hadithi ya bedui na ngamia, Zito ni tapeli, jambazi dhulumati na ni msaliti pure!!
Jdg Mtungi usitumike kihivyo, linda hadhi yako Bro!!
Limbu ameonja joto ya jiwe, sijui kama atarudishiwa chama chake??
Mi nahisi ni mtego wa watawala, kwamba zzk akipata nguvu kubwa mfano vigogo wakihamia chama chake, basi watakifuta kwa misingi ya kukosa usajili wa kueleweka, sasa wamemwambia apeleke usajili wa ACT Tanzania ili apewe usajili wa ACT Wazalendo. Usajili uko chumbani kwa limbu, ataupataje na kesi bado, kesi yenyewe itaisha mwakani, changanya na za mbayuwayu!