Lilian Internet aja kivingine

Lilian Internet aja kivingine

Kweli wakati ukuta, Lilian kiuno hakizunguki kama zile zama.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nikajua kaja kumtoa shilole kiuno barabarani

Kumbe hata chura kashapoteza dira[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anakarusha rusha tuu kama anacheza kwaito
Hilo biti angelicheza shishi bebe,

Lili intanet huyo atakua photocopy, embu twende tukamuone kwao kama orijino kabaki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwenzangu! Yani haeleweki...
Yaan niliendaga kwenye show yake ya kumuaga kuhusu kucheza show nikajua labda atafanya kitu kingine tofaut kumbe kaja kwenye kuimba nyimbo zenyewe hazieleweki
 
Hongera kwa kufika alipofika kajitambua sababu naona kina malia soloma,otty,nyamwela vyuma vimekaza bado wanacheza show tuu bila kujiongeza kivingine! Lakin wimbo hajautendea haki nlitegemea avunje kama Shalamwana ktk kucheza! Kacheza kama sio mtaalamu wa hizi kazi
 
Hata risasi kidole ya mashujaa kaitendea haki kweli, nashangaa hapa kacheza kama anaruka kamba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaaa nimekumbuka mbaaali sana

Mi sijawaza hizi kamba za mazoezi, nimewaza zileeeee za enzi zileeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaaa nimekumbuka mbaaali sana

Mi sijawaza hizi kamba za mazoezi, nimewaza zileeeee za enzi zileeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6]
Za yale majani yanayotambaaa eeeh
 
Lilian internet, diana astonivilla, banza, alichoki, steve nyerere, mr. Nice heee hili kundi lilitamba sana magazetini hasa yale ya udaku miaka ile Baba Diana
Duhh, ilikuwa patashika nguo kuchanika. Huyu dada akiwa na Aisha Madinda ilikuwa balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom