shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,322
Nashukuru nabid nikaipitie list vizur ,ila kapona sana kukwepa mishale yote yenye umemeYeye hayumo mkuu,Mungu alikuwa upande wake.
Huyu dada ana bahati sana.
Nashukuru nabid nikaipitie list vizur ,ila kapona sana kukwepa mishale yote yenye umemeYeye hayumo mkuu,Mungu alikuwa upande wake.
Huyu dada ana bahati sana.
Katika ule 'mtandao' wao wote ni yeye pekee aliyepona mkuu.Nashukuru nabid nikaipitie list vizur ,ila kapona sana kukwepa mishale yote yenye umeme
Kama wemaTena amekeep black beauty yake.
mbona anaongea tu nimesubiria aimbe wala haimbiKweli wakati ukuta, Lilian kiuno hakizunguki kama zile zama.
Why best!Ur not serious mkuu.
Lilian internet, diana astonivilla, banza, alichoki, steve nyerere, mr. Nice heee hili kundi lilitamba sana magazetini hasa yale ya udaku miaka ile Baba Diana
Basi tufanye ni mchiriku...Ni kati ya taarab na singeli haiku mbali na hapo.
Duh! mambo ya kisa cha mpemba hizi enzi bila shaka.Mungu amlaze pema Banza,hakuna tena kama yeye [emoji24]
Diamond sound palikuwa na mkata nyonga mmoja wa kuitwa marium Zidane sijui kiko wapi chuma hicho!Katika ule 'mtandao' wao wote ni yeye pekee aliyepona mkuu.
I presume so! Kindly prove me wrong!Wema keeping her black beauty!
Sijaelewa mi mgeni jijini, Grid ya Taifa hii ya TANESCO?Naona grid ya taifa
Tena amekeep black beauty yake.
Was just kidding!What can eye say mkuu, if that is what your eyes tell you.