Lilian Internet aja kivingine

Lilian Internet aja kivingine

Imenibidi niurudie mara tatu. Natafuta mauno ya kipindi kile lakini siyaoni
 
Alikua tishio mjini , acha tu enzi bendi ni bendi kweli enzi zile mwinjuma muumini naye ndio anatamba, ukigusa moto extra music unawaka, ukigeuka pembeni kuna twanga, ukijilaza pembeni unaisikia elimu ya mjinga.
Duh long time kitambo.., hivi Mwinjuma ndio amestaafu mziki mazima...?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom