Lilian Internet aja kivingine

Lilian Internet aja kivingine

Lilian Internet... yuko wapi huyu mrembo?

-Kaveli-
 
Huyu na Rose Ndauka wanaupenda miziki lakini muziki hauwapendi
 
Kweli wakati ukuta, Lilian kiuno hakizunguki kama zile zama.
Aisee!!

Nakumbuka. [emoji441][emoji441] [emoji443][emoji443] Mingoi,,,,Mingoi,[emoji443][emoji443]
kamera,,,,kamera [emoji441][emoji441],

nilimfinyia sh 10,000/= kwenye pindo la chupi,
Anex bar miaka ya 2006,

Mtoto alinikalia mapajani akapiga mauno kama mjusi kakatwa mkia.

Leo amekuwa na kiuno kigumu kama sterling ya FIAT(mbaula).

Kweli kila Jambo na wakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom