Iran yatishia kukata cable za internet zinazopita baharini

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
24,839
Reaction score
61,820
Msemaji wa jeshi la mapinduzi la Iran (IRGC) limewakumbusha 'maadui' zake kwamba, kuna cable kuu 7 za internet zimekatiza kwenye mlango bahari wa Hormuz

Kwa mujibu wa Google AI, hizi ndiyo cable 7 kuu za internet zinazokatiza mlango huo:

iran_cabble.png

iran.jpeg
 
Attachments

  • iran.jpeg
    iran.jpeg
    183 KB · Views: 1
Msemaji wa jeshi la mapinduzi la Iran (IRGC) limewakumbusha 'maadui' zake kwamba, kuna cable kuu 7 za internet zimekatiza kwenye mlango bahari wa Hormuz

Kwa mujibu wa Google AI, hizi ndiyo cable 7 kuu za internet zinazokatiza mlango huo:

View attachment 3693953
View attachment 3693955
Kama kublock straight of Hormuz ndy imekuwa shida hvy wakizima na hizo cable watu wanaweza wakafa njaa serious waache hayo mambo.
 
Ila Iran akifanya hvy atakuwa amenaliza kete zake zote alizonazo.
bado ana kete nyingi mno, kuna assets kibao pale uarabuni zinamilikiwa na Trump na viongozi wengine wa kimarekani (pamoja na US companies, kama WWE, kina Google, kina Apple, Oracle) hajazigusa hata kidogo (ni amazon data center ya Bahrain ndiyo aliyoilipua)
 
Mwenyewe nimefikiria sana Hilo swala. ila Trump amefanya hvy Kwasababu ya uchaguzi wa mwezi unaokuja utakaofanyika nchini marekani.
Ila Iran akifanya hvy atakuwa amenaliza kete zake zote alizonazo.
Houthi wakifunga Bab el mandebu na bahari ya shamu , suez canal kwisha habari milio itasikika mbali zaidi
 
Iran anazo kete za hatari sana , akigusa moja tu milio inasikika dunia nzima , mmmme
Kete alizonazo ameshatumia zote na zilizobakia zenye nguvu ni chache sana ambazo ni Babu almandar, straight of Hormuz na hizo cable basi.

Na akifanya hvy atakuwa ameipa dunia hasara ambayo haielezeki.

Lakini pia Iran anatakiwa ajue kuwa Kuna starlink za Elon musk akizima hizo cable mbadala utapatikana baada ya muda then yeye hatokuwa na kete nyengine ya kutishia nayo.
 
Hayo maandishi yamekuaje? Madogo mno mpaka nichukue miwani🤔
 
Kete alizonazo ameshatumia zote na zilizobakia zenye nguvu ni chache sana ambazo ni Babu almandar, straight of Hormuz na hizo cable basi.

Na akifanya hvy atakuwa ameipa dunia hasara ambayo haielezeki.

Lakini pia Iran anatakiwa ajue kuwa Kuna starlink za Elon musk akizima hizo cable mbadala utapatikana baada ya muda then yeye hatokuwa na kete nyengine ya kutishia nayo.
Sawa mcha - mbuzi
Kamuulize ukraine na hiyo stalink anavyanyanyaswa nayo
 
Ukraine ni swala la kitaifa ila Iran akibutua hizo cable ni swala la dunia mkuu. Then hizo starlink zilizopo Ukraine zimeanza kusumbua mara baada ya Ukraine kupinga kuondolewa vikwazo vya kununua mafuta ya Russia lakini kabla ya hapo zikikuwa zinafanya kazi na zilipelekea athari kubwa kijeshi
 
Kete alizonazo ameshatumia zote na zilizobakia zenye nguvu ni chache sana ambazo ni Babu almandar, straight of Hormuz na hizo cable basi.

Na akifanya hvy atakuwa ameipa dunia hasara ambayo haielezeki.

Lakini pia Iran anatakiwa ajue kuwa Kuna starlink za Elon musk akizima hizo cable mbadala utapatikana baada ya muda then yeye hatokuwa na kete nyengine ya kutishia nayo.
Starlink hata apewe miaka kadhaa hawezi akafidia, uwezo wa fibre optic kubeba data kwa sekunde, ukilinganisha na satellite za starlink zilizopo Kwa SASA angani, tofauti yake ni mbingu na ardhi
 
Kete alizonazo ameshatumia zote na zilizobakia zenye nguvu ni chache sana ambazo ni Babu almandar, straight of Hormuz na hizo cable basi.

Na akifanya hvy atakuwa ameipa dunia hasara ambayo haielezeki.

Lakini pia Iran anatakiwa ajue kuwa Kuna starlink za Elon musk akizima hizo cable mbadala utapatikana baada ya muda then yeye hatokuwa na kete nyengine ya kutishia nayo.
Dunia inopoenda starlink internet itakuwa muhimu kama maji ya kunywa vile. Maana very soon malipo duniani yatategemena starlink internet.
 
Back
Top Bottom