ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,858
- 60,837
Watu wenye exposure waliobahatika kidogo kutembelea nchi ambazo zimepiga hatua kwenye matumizia ya internet mpaka kufikia kuwa na digital economy kubwa wanaelewa ..Tanzania tunazungumza sana kuhusu maendeleo, lakini kuna eneo ambalo likipewa nguvu linaweza kusaidia karibu kila sekta internet na teknolojia.
Mimi nawaza kwa mfano serikali ikaamua kuweka kama TSh trilioni 6 kwa ajili ya kuendeleza internet nchini ndani ya miaka mitatu. Sisema hii ndiyo bajeti sahihi ila naonaga sijui mkono wa taifa billion kadhaa hazıfiki hata billion 300 sasa assume waamue kuweka trillion 6 ndani ya miaka mitatu kwenye internet tu kuongeza minara ya 4G/5G, kusambaza fibre vijijini, kupunguza gharama za data na kusaidia wananchi kupata smartphones za bro nafuu ifike hatua Malipo yote iwe bidhaa au huduma yafanyike online cash ibakie sehemu chache sana labda kwenye masoko mjinga tu au maduka maduka ya mtaani .. internet leo ni kama barabara. Barabara ikijengwa, watu na biashara wanaweza kusafiri. Internet ikiwa nzuri na affordable, taarifa, elimu, biashara na fursa zinaweza kumfikia mtu hata akiwa kijijini.
Tunasogea mdogo mdogo kwenye hili, lakini swali langu ni kwa nini tusilipe uzito zaidi
Kama tungeweza kufikisha zaidi ya 70% ya Watanzania ndani ya miaka mitatu kwenye internet yenye gharama nafuu na matumizi yenye tija, mnafikiri impact yake kwenye ajira, elimu na uchumi ingekuwa kubwa kiasi gani?