Lile bao la jana! VAR" ya Chumbani

Lile bao la jana! VAR" ya Chumbani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,071
Reaction score
831,695
Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu..
d08f77af-4f6e-4282-ba5b-a243d07bd3a8.jpeg
au mchezaji alikuwa amezidiwa kasi.
 
Lakini kumbe kati yetu kuna wenye Clean Sheet" ya Kudumu
hawa ni wale ambao hawajafunga bao kwa muda mrefu (wakataa ndoa). Inasemwa kuwa wao ni kama makipa stadi, wameweka clean sheet mwaka mzima—si kwa kupenda, bali kwa kukosa washambuliaji wa kupambana nao.
 
Wazee wa . "Bao la Pili"
bao la kwanza ni la "mwenye nyumba" (lazima lifungwe), lakini bao la pili ndilo linaloamua nani ni "bingwa" wa ligi. Hizi ni mbinu za "kupasha misuli" (warm-up) ili kurejea uwanjani baada ya bao la kwanza.💪🏿😂
 
Kuchungulia "Matokeo"
Kuna wanaopiga kelele baada ya kufunga bao moja, huku wenza wao wakiwa wamekaa kama mashabiki waliolipishwa kiingilio kikubwa lakini hawajaona "burudani" yoyote uwanjani.😂🙌🏿

Hivyo ni vituko vya bao la Jana😁
 
Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu..View attachment 3570936 au mchezaji alikuwa amezidiwa kasi.
Safari ilianzia hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1775906779460.jpg
    FB_IMG_1775906779460.jpg
    13.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom