Ushauri kwa chadema, elimisheni watu wajiandikishe kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Ccm imekuwa na tabia ya kucheza na akili za wapinzani pale wanapojisahau.

Nawaomba viongozi wakuu wa cdm kuhakikisha wanatoa elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Cdm ina watu wengi sana kwenye majukwaa na hakika wanaipenda cdm lkn umuhimu wa wao kupiga kura hawauoni.

Viongozi tafadhali sana kila mnapofanya mkutano wenu muda wowote ule toeni pia elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wakapige kura .

Msisubiri uchagzi ukaribie ndiyo mfanye hivyo maana elimu ikiwaingia watu kwa muda mrefu inakuwa rahisi sana kuitumia.

....ushauri wa...Mmawia.
 
Kujiandikisha kwa wingi bila tume huru, ni sawa na kisajili foward za maana huku beki Harry Maguire.
Ok upo sawa lkn kwa sasa cdm wanahubiri sana kupata tume huru ni vizuri wakati wanapambania tumhuru basi wapambane na kuhakikisha watu wanajiandikisha na kwenda kupiga kura.
 
Ccm imekuwa na tabia ya kucheza na akili za wapinzani pale wanapojisahau.

Nawaomba viongozi wakuu wa cdm kuhakikisha wanatoa elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Cdm ina watu wengi sana kwenye majukwaa na hakika wanaipenda cdm lkn umuhimu wa wao kupiga kura hawauoni.

Viongozi tafadhali sana kila mnapofanya mkutano wenu muda wowote ule toeni pia elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wakapige kura .

Msisubiri uchagzi ukaribie ndiyo mfanye hivyo maana elimu ikiwaingia watu kwa muda mrefu inakuwa rahisi sana kuitumia.

....ushauri wa...Mmawai....View attachment 2708838
Kwenye kila kusanyiko kwa sasa wanahamasishwa kujisajili kidigitali na maendeleo kwa kweli yanafurahisha mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA wanapiga kura kuliko CCM. Tatizo ni kuachia kazi ya kumtangaza mshindi mikononi mwa mkurugenzi wa Halmashauri ambaye ni kada wa CCM.

" nikupe gari, nikupe mafuta, nikupe mshahara halafu umtangaze mpinzani? Haiwezekani"
 
Ccm imekuwa na tabia ya kucheza na akili za wapinzani pale wanapojisahau.

Nawaomba viongozi wakuu wa cdm kuhakikisha wanatoa elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Cdm ina watu wengi sana kwenye majukwaa na hakika wanaipenda cdm lkn umuhimu wa wao kupiga kura hawauoni.

Viongozi tafadhali sana kila mnapofanya mkutano wenu muda wowote ule toeni pia elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wakapige kura .

Msisubiri uchagzi ukaribie ndiyo mfanye hivyo maana elimu ikiwaingia watu kwa muda mrefu inakuwa rahisi sana kuitumia.

....ushauri wa...Mmawia.View attachment 2708838
Hivi inahitaji elimu kujua umuhim wa kujiandikisha ili upige kura uchaguz ujao? Ujinga wa watz wengi ndo tatizo kubwa ktk nchi hii mengine hayahitaji elimu ni madhara ya kukosa mwamko na kujali
 
Ccm imekuwa na tabia ya kucheza na akili za wapinzani pale wanapojisahau.

Nawaomba viongozi wakuu wa cdm kuhakikisha wanatoa elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Cdm ina watu wengi sana kwenye majukwaa na hakika wanaipenda cdm lkn umuhimu wa wao kupiga kura hawauoni.

Viongozi tafadhali sana kila mnapofanya mkutano wenu muda wowote ule toeni pia elimu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na wakapige kura .

Msisubiri uchagzi ukaribie ndiyo mfanye hivyo maana elimu ikiwaingia watu kwa muda mrefu inakuwa rahisi sana kuitumia.

....ushauri wa...Mmawia.View attachment 2708838
Hili la msingi sana, asante kwa kutoa wazo. Erythrocyte
 
Kwa Tume ipi Mmawia ?!
Hii ya akina Jecha & mahera style !!

Cdm wanaweza wakashinda uchaguzi kirahisi, lakini si kwa tume hii inayoteuliwa na namba moja.
 
Ndiyo maana kila kukicha kumekuwa na shinikizo kwa wenye mamlaka kuweka mazingira ya kupata tumehuru
 
Haiwezi kupatikana kwa uoga huu wa wananchi. Hawa ambao wakiona defender hawaonekani siku nzima.

Angalia wanayofanyiwa na so called watawala. Ujinga mtupu. Lakini hamna reaction. Covid 19 wanahudhuria mikutano ya viongozi wakuu wa Ccm bila uoga wa kufanywa chochote !!

Wananchi kwanza wajikomboe kimawazo na si kuwaachia viongozi wa upinzani pekee yao.
 
Upo sahihi sana kiongozi
 
Back
Top Bottom