kwa kireno(lugha ya brazil) hili kundi linaitwa hivi ; Primeiro Comando Capital
kiongozi wao;Marcos William Herbas Camacho( Marcola)
Analiongoza kundi hili akiwa yuko gerezani mpaka muda huu uusomapo uzi huu.
lina wapinzani wengi tu CRBC,TCC,CV n.k,kundi hili halimuui mpinzani wake kwa kumshtukiza kama wafanyavyo makundi mengine,wao wakishajua kuwa wewe ni mpinzani wao wanakwambia kabisa,omba uhamisho kutoka ktk gereza letu au tutakuzingua.
Nalog off