Lijue kundi la kiharifu la PCC la nchini Brazil

Wahuni wa south america ni balaa sana,tena rushwa ndio inachochea vikundi hivi kuwa strong,nakumbuka ya Escober ....Plata or promo chukua rushwa au kama hautaki kupewa rushwa uuwawe
 
kwa kireno(lugha ya brazil) hili kundi linaitwa hivi ; Primeiro Comando Capital
kiongozi wao;Marcos William Herbas Camacho( Marcola)
Analiongoza kundi hili akiwa yuko gerezani mpaka muda huu uusomapo uzi huu.
lina wapinzani wengi tu CRBC,TCC,CV n.k,kundi hili halimuui mpinzani wake kwa kumshtukiza kama wafanyavyo makundi mengine,wao wakishajua kuwa wewe ni mpinzani wao wanakwambia kabisa,omba uhamisho kutoka ktk gereza letu au tutakuzingua.
Nalog off
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom