Lijue Jiji la London

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney.

Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya

Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!

Tower_bridge_01.jpg

London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii m90 wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 1.4. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.

1. Kasri la Bunge la Jiji Hilo Ndilo Jumba Kubwa Kabisa Nchini Uingereza Likiitwa Westminster.

2. The Palace of Westminster lina jumla ya baa nane (kwa bei ya dezo), hoteli sita na vyumba 1,000, kumbi 11 na pia kuna saluni ya kike na kiume.

3. Ni marufuku KUFA ukiwa kwenye Palace of Westminster.

4. Kuna eneo maarufu kwa 'kuku wa kienyeji' wakimaanisha eneo lililohalalishwa kwa ajili ya machangudoa kujiuza.

5. Hadi mwaka 1994 hakukua na barabara yoyote kwenye Jiji hili na hata sasa kuna barabara moja tu Goswel Road ingawa kuna vichochoro vingi sana vya waendao kwa miguu na njia za umma hazikuitwa barabara hadi mnamo karne ya 16

6. Arsenal ndiyo timu pekee katika Jiji hili yenye stendi ya treni za kasi inayoitwa Arsenal iliyopewa jina hilo mwaka 1932 baada ya Arsenal kuhama toka Woolwichhadi Kaskazini ya London.

7. Kivutio kikubwa cha watalii ni Mnara wa Madaraja (pichani juu chini ndio jumba la Westminster)
Tower_bridge_01.jpg


Ongezeni..
 
Imetulia

Naanza kuvuta picha sasa, maana hata pale Dom kunaeneo maarufu kwaajili ya "Nyama choma" Hivi ni nyama choma hii tunayoijua sisi au ndo kama hii ya "kuku wa kienyeji"..!!!

BACK TANGANYIKA
pale unapata vyote
 
Imetulia

Naanza kuvuta picha sasa, maana hata pale Dom kunaeneo maarufu kwaajili ya "Nyama choma" Hivi ni nyama choma hii tunayoijua sisi au ndo kama hii ya "kuku wa kienyeji"..!!!

BACK TANGANYIKA
maeneo ya kuku wa kienyeji yapo karibu majiji yote duniani hata haoa Tanzania

wacha aje Nyani Ngabu
 
Fafanua hapo kwamba hakuna barabara londoni sijakuelewa mkuu.
ukiweza kuiweka vizuri asante..........
20. Until 1994 there were no “Road”s in the City of London, and now there’s only one, Goswell Road, which became part of the Square Mile in 1994 after boundary changes. There are plenty of Lanes, Streets, and Ways, but public paths weren’t generally referred to as roads until the 16th century.
 
Mkuu umeweka picha mbilitatu hapa, hujaeleza ipi kati ya hayo majengo ni WestMinster yenyewe.
 
uingereza.jpg
Mamia ya wakazi wa Jiji hilo wamepinga mabango yaliyoandikwa kweye mabasi ya mwendo kasi ya Jiji hilo kama yanavyoonekana pichani
 
Back
Top Bottom