Lijue Jiji la London

Lijue Jiji la London

mkuu tupe zaidi maana hii niliipenda sana
London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney

Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya

Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!
 
View attachment 353835 Mamia ya wakazi wa Jiji hilo wamepinga mabango yaliyoandikwa kweye mabasi ya mwendo kasi ya Jiji hilo kama yanavyoonekana pichani
Ingekuwa imeandikwa Jesus is my lord ingekuwa sawa au sio?
Kama vile NHC na TFDA kumdhamini matamasha ya kanisa ni sawa ila ingekuwa Dr Dau kapeleka hata majamvi madrasa ingekuwa Ndio habari au sio?
 
hao wanajipambanua kama taifa la ukristo tangu kale
Ingekuwa imeandikwa Jesus is my lord ingekuwa sawa au sio?
Kama vile NHC na TFDA kumdhamini matamasha ya kanisa ni sawa ila ingekuwa Dr Dau kapeleka hata majamvi madrasa ingekuwa Ndio habari au sio?
 
lakini pia ukumbuke harakati zimeanza baa
Ingekuwa imeandikwa Jesus is my lord ingekuwa sawa au sio?
Kama vile NHC na TFDA kumdhamini matamasha ya kanisa ni sawa ila ingekuwa Dr Dau kapeleka hata majamvi madrasa ingekuwa Ndio habari au sio?
da ya kuchaguliwa Meya Muislamu
 
London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney

Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya

Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!

View attachment 353822 London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii m90 wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 1.4. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.

1. Kasri la Bunge la Jiji Hilo Ndilo Jumba Kubwa Kabisa Nchini Uingereza Likiitwa Westminster.

2. The Palace of Westminster lina jumla ya baa nane (kwa bei ya dezo), hoteli sita na vyumba 1,000, kumbi 11 na pia kuna saluni ya kike na kiume.

3. Ni marufuku KUFA ukiwa kwenye Palace of Westminster.

4. Kuna eneo maarufu kwa 'kuku wa kienyeji' wakimaanisha eneo lililohalalishwa kwa ajili ya machangudoa kujiuza.

5. Hadi mwaka 1994 hakukua na barabara yoyote kwenye Jiji hili na hata sasa kuna barabara moja tu Goswel Road ingawa kuna vichochoro vingi sana vya waendao kwa miguu na njia za umma hazikuitwa barabara hadi mnamo karne ya 16

6. Arsenal ndiyo timu pekee katika Jiji hili yenye stendi ya treni za kasi inayoitwa Arsenal iliyopewa jina hilo mwaka 1932 baada ya Arsenal kuhama toka Woolwichhadi Kaskazini ya London.
7. London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.

8. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani

9. Kivutio kikubwa cha watalii ni Mnara wa Madaraja (pichani juu chini ndio jumba la Westminster)

View attachment 353822

ongezeni .....

Well said, lakini masahihisho kidogo hasa kuhusu viwanja vya ndege: Kiwanja kinacho ongoza kwa ukubwa na capacity ya abiria wanao shuka na kupanda kipo Marekani i.e Hartfield Jackson Atlanta International, cha pili kipo China mji wa Beijing, cha tatu ni Dubai oh yes Dubai imekwisha ipiku Heathrow, cha nne ndiyo inakuja Heathrow International Airport.

Kitu kingine, sehemu ya London inayo tembelewa/vuta watalii wengi ni Jumba la Queen i.e Buckingham Palace na kuangalia mbwembwe za askali wanapo kabidhiana/badirishana zamu ya ulizi, cha pili katika mvuto wa watalii ni The British Museum, inayo fuata katika mvuto ndiyo hiyo the Tower of London and Tower Bridge.

Mengi uliyo sema yana ukweli lakini ili la watu kutosalimiana kwenye mitaa fulani sikuwahi kulishuhudia mimi, labda kama ritual hiyo inakuwa practiced na wenyeji wa inner na outer London.
 
asante saaaaaaaaaaaaaaaaana kuongeza vidokezo
 
Back
Top Bottom