Matango pori tu hayo. Kila nyumba London inafikika kwa gari. Huyo jandio maana wazungu wanatembea mwendo kasi kuliko waafrika
Matango pori tu hayo dada. Huyu jamaa kawapa story za medieval London. Hakuna kitu kama hicho. Barabara ni utitiri na kila nyumba inafikika kwa barabara.Kwa maelezo haya kumbe London ni mwendo wa kusaga soli?