Chako ni Changu ni balaaImetulia
Naanza kuvuta picha sasa, maana hata pale Dom kunaeneo maarufu kwaajili ya "Nyama choma" Hivi ni nyama choma hii tunayoijua sisi au ndo kama hii ya "kuku wa kienyeji"..!!!
BACK TANGANYIKA
UHHHHHLondon mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney
Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya
Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!
Aiseeee!London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney
Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya
Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!
Mkuu nimecheka kwelijamaa kaua
Yaani katika maelezo yote point yako ni nyama choma tu! Kweli Dr. Watson alikuwa sahihi kwa kusema watu weusi wana ufahamu mdogo.
wamechuma mpaka raia wetu akina chriss lukosi wamezamia hukowamechuma kwetu na kusepa