mkuu kama sio juhudi binafsi na uzoefu wa mambo ya angani saiz msingesikia jina la zumbemkuu tajiri mkubwa kuliko wagosi wote Tanga, anyway, naelekea visiwa vya shelisheli nimepata lift toka kwa jirani yangu naenda kutafuta spare...Hahahahahahahaha lol! Aisee umenichekesha sana hahahahah lol! Rafiki yangu FP utamfanya awe na tumbo joto lol!
mkuu kama sio juhudi binafsi na uzoefu wa mambo ya angani saiz msingesikia jina la zumbemkuu tajiri mkubwa kuliko wagosi wote Tanga, anyway, naelekea visiwa vya shelisheli nimepata lift toka kwa jirani yangu naenda kutafuta spare...
Rafiki yule zumbemkuu ni aje? hahahahah lol! kuna tetesi kila akikuchungulia kwenye mtungi basi mtungi hulia PAA! hahahah lol! umepasuka!!!! kuna tetesi mitungi yake mitano imepasuka lol!
Ha haaa, rafiki BAK umeona yaliyomkuta Huyu zumbemkuu ? Mimi nilimu-warn lakini hakusikia, lol!
i want wima to blow my whistle with those lips 🙂Rafiki mna .....
......
very good sir, from personal experience a good friend is the among most valuable thing u can have
mkuu kama sio juhudi binafsi na uzoefu wa mambo ya angani saiz msingesikia jina la zumbemkuu tajiri mkubwa kuliko wagosi wote Tanga, anyway, naelekea visiwa vya shelisheli nimepata lift toka kwa jirani yangu naenda kutafuta spare...
FP ulipotea kitambo, u mzima?
mimi mzima, Mungu anasaidia. sikuiona avatar yako kitambo nkadhani umeamia fesibukuNipo rafiki yangu, salama wewe?
mimi mzima, Mungu anasaidia. sikuiona avatar yako kitambo nkadhani umeamia fesibuku
mlongo wangu vipi tena kumnunia member wako wa uteja?BAK umemisikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaje! lol!vibaya hvioooooo!
NIMEKUNUNIA!