Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Mhhhhhh! :behindsofa:
sasa rafiki unajificha nini? huniamini?
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh! :behindsofa:
mlongo wangu vipi tena kumnunia member wako wa uteja?
namwombea msamaha bwana, usimnunie rafiki yetu huyu. au tumeghaili kumrudisha mfaranyaki? wakati mimi hadi lindeku nimeshakodi, lol!
Ngoja akutokee kivingine ndio hapo utajuuuuuta kuzaliwa.....Kila ukilala kwako asubuhi unaamkia kwa zumbemkuu...itabidi uhamie mwenyewe maana utakuwa huna jinsi lol!
Naona mlongo wangu snowhite kaamua kukununia kikwelikweli, sijui kulikoni?
lol! umenikumbusha mambo ta Teja kupiga magoti huku akilia kama mtoto kuomba samahani ili asinyang'anye penzi hahahaha. Nadhani mdogo wako kabanwa tu unajua shughuli zake zinavyokuwa nyingi siku za weekend kwenda kuabudu, kukaangiza na wakati mwingine kuwakaangizia na wageni pia. Nafasi ikimruhusu labda atashuka mtaa huu.
Ha haaa, rafiki umepiga magoti kuomba msamaha? Lol! Ni muhimu sana kupiga goti na kutoa machozi, chezea uteja wewe?
Sasa unanifanya nijisikie vibaya mimi ambaye niko huku (jf) weekend hii, ina maana sifanyi hayo mlongo wangu anayofanya? Nitake radhi rafiki
Hapana si mimi rafiki ila nilisikia Teja alionekana analia huku amepiga magoti sasa sijui kama kuna ukweli wa hili.
basi sinuni tena dada mkubwa!manake lol!mlongo wangu vipi tena kumnunia member wako wa uteja?
namwombea msamaha bwana, usimnunie rafiki yetu huyu. au tumeghaili kumrudisha mfaranyaki? wakati mimi hadi lindeku nimeshakodi, lol!
lol! umenikumbusha mambo ta Teja kupiga magoti huku akilia kama mtoto kuomba samahani ili asinyang'anye penzi hahahaha. Nadhani mdogo wako kabanwa tu unajua shughuli zake zinavyokuwa nyingi siku za weekend kwenda kuabudu, kukaangiza na wakati mwingine kuwakaangizia na wageni pia. Nafasi ikimruhusu labda atashuka mtaa huu.
afadhali mlongo wangu ulivyomsamehe maana tukianza kumnunia sasa asije akakimbia bure, lol!basi sinuni tena dada mkubwa!manake lol!
ligambusi mchezo!lazima tulivurumushe pande za mfaranyaki BAK sijanuna mwayego weeee!
umeona eeeh!una akili wewe!
ahahahhahahhahahha dada mkubwa hapa lazima alie akisoma hii!unataka kusema ye ametegea weekend hii enh? FP wapi wewe!
BJ umenifanya niende nikausikilize maana mpaka umeomba usijajiwe! lol! enjoy
Unapenda mambo ya, weye!.