Life is good and very precious

Life is good and very precious

Thank you! snowhite kuna tetesi kwamba Damkubwa alimpa kavu kavu Teja inasemekana Teja alionekana amepiga magoti huku akibubujikwa na machozi :behindsofa: ili kuomba msamaha yaishe. Sipati picha kumuona Teja akiwa katika hali hiyo lol! Damkubwa nimemuuliza ukweli wa tetesi hizo naona anarusha rusha tu :majani7:



una akili wewe!
ahahahhahahhahahha dada mkubwa hapa lazima alie akisoma hii!unataka kusema ye ametegea weekend hii enh? FP wapi wewe!
 
Last edited by a moderator:
My appreciation Blue G




yeah you got a big point here,but cha ajabu gold is valued more than human being and at the same time some people do kill their friends,relatives or even the most important people one has in the world,''parents''just for money Wich can be thrown in the fire and turn into ashes for a second!!!!!!!thanks for a meaningful msg.
 
Last edited by a moderator:
Haya tunasubiri report baada ya kuusikiliza kama nawe umeingia kwenye kundi la BJ.

:fencing::fencing::fencing:



BJ umenifanya niende nikausikilize maana mpaka umeomba usijajiwe! lol! enjoy
 
Last edited by a moderator:
Yegooooo! Mchokozi weye eeh! lol! :majani7:



Unapenda mambo ya, weye!.

I'll take you to the candy shop
I'll let you lick the lollypop
Go 'head girl, don't you stop
Keep going 'til you hit the spot (woah)
[Olivia]
I'll take you to the candy shop
Boy one taste of what I got
I'll have you spending all you got
Keep going 'til you hit the spot (woah)
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh! :behindsofa:......ni aje @FP? Waambie watu wanaolalamikalalamika kwamba vitambi vinawashuka, hawana vitambi wajichane tu kwa raha zao halafu na teenager anayependa kudai "haki yake" kwa nguvu mwambie kutanuka kifua haina maana aombe shikamoo kwa nguvu lol! "Mie Mkubwa kwako naomba haki yangu." hahahaha lol!....Mwambie asubiri akifikishe umri wa kupewa shikamoo zitakuja nyingi tu 🙂🙂🙂 mpaka atazikimbia.



umeona eeeh!
yaani nilijisikia vibaya ikabidi nisepe tu hata kama sina shughuli ya kufanya, lol!
 
Last edited by a moderator:
You're warmly welcome Rubani, it is always a pleasure to see you around.

asante sana captain .
miss you a lot.. 🙁
mie unanifurahisha sana na thread zako pamoja na
nyimbo zinavyoendana nahitaji DJ kwenye ka sherehe changu fulani
unaweza kuni saidia?
 
Mhhhh! :behindsofa:......ni aje @FP? Waambie watu wanaolalamikalalamika kwamba vitambi vinawashuka, hawana vitambi wajichane tu kwa raha zao halafu na teenager anayependa kudai "haki yake" kwa nguvu mwambie kutanuka kifua haina maana aombe shikamoo kwa nguvu lol! "Mie Mkubwa kwako naomba haki yangu." hahahaha lol!....Mwambie asubiri akifikishe umri wa kupewa shikamoo zitakuja nyingi tu 🙂🙂🙂 mpaka atazikimbia.



Kila siku kabla sijakung'uta miguu yangu kupanda kitandani lazima niisikilize hii motivation song!.
 
Last edited by a moderator:
Thank you! snowhite kuna tetesi kwamba Damkubwa alimpa kavu kavu Teja inasemekana Teja alionekana amepiga magoti huku akibubujikwa na machozi :behindsofa: ili kuomba msamaha yaishe. Sipati picha kumuona Teja akiwa katika hali hiyo lol! Damkubwa nimemuuliza ukweli wa tetesi hizo naona anarusha rusha tu :majani7:


chezea uteja rafiki? kwa nini mtu asipige magoti na machozi juu kuomba radhi? kila akikumbuka vitu atakavyovimiss anaona hapana lazima kieleweke........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! :behindsofa:......ni aje @FP? Waambie watu wanaolalamikalalamika kwamba vitambi vinawashuka, hawana vitambi wajichane tu kwa raha zao halafu na teenager anayependa kudai "haki yake" kwa nguvu mwambie kutanuka kifua haina maana aombe shikamoo kwa nguvu lol! "Mie Mkubwa kwako naomba haki yangu." hahahaha lol!....Mwambie asubiri akifikishe umri wa kupewa shikamoo zitakuja nyingi tu 🙂🙂🙂 mpaka atazikimbia.



ha ha haaaaa, rafiki acha utani bwana........ unafikiria vitambi vinanoga? na atakaliwa kooni mpaka kiyeyuke kabisaaaaaaaaaaa.
unapenda kuamkiwa weye? anza kwanza kuniamkia mimi dada mkubwa, lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya tunasubiri report baada ya kuusikiliza kama nawe umeingia kwenye kundi la BJ.

:fencing::fencing::fencing:


kweli rafiki umeamua kunichokoza....... nitakuitia mlongo wangu snowhite aanzishe mnuno tuone kama watu hawajapiga magoti kuomba msamaha
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
BJ umenifanya niende nikausikilize maana mpaka umeomba usijajiwe! lol! enjoy

Acha tu mamie FP maana candy shop inayozungumziwa hapo, mmhhh!! bora na umeusikiliza curiosity iishe!!


Unapenda mambo ya, weye!.

I'll take you to the candy shop
I'll let you lick the lollypop
Go 'head girl, don't you stop
Keep going 'til you hit the spot (woah)
[Olivia]
I'll take you to the candy shop
Boy one taste of what I got
I'll have you spending all you got
Keep going 'til you hit the spot (woah)

Yego we mchokozi kweli kweli, ofcourse napenda candies, ha ha!! sikiliza na huo wa Freak, he he!!


Yeah BJ!!! Life is really good!!! Who am I to judge you!? Enjoy BelindaJacob

wow! thanks for the video, message zako ni clear kwa music..sikiliza hicho kibao hapa chini, cha longtimeee!!

[video=youtube_share;XLwW7ZDWn5Y]http://youtu.be/XLwW7ZDWn5Y[/video]
 
Last edited by a moderator:
Ni wimbo mzuri ambao uko very popular muda si mrefu utashika namba katika Billiboard chart.



Kila siku kabla sijakung'uta miguu yangu kupanda kitandani lazima niisikilize hii motivation song!.
 
Last edited by a moderator:
Mpe salam nyingi Teja mwambie aache kulialia na kupiga magoti, si tabia nzuri. :majani7:



chezea uteja rafiki? kwa nini mtu asipige magoti na machozi juu kuomba radhi? kila akikumbuka vitu atakavyovimiss anaona hapana lazima kieleweke........
 
Last edited by a moderator:
Mwambie Teja kichanga hakipendi kuona Baba analia lia na kupiga magoti kinaweza kuwa hakikui kama inavyotakiwa lol!

kweli rafiki umeamua kunichokoza....... nitakuitia mlongo wangu snowhite aanzishe mnuno tuone kama watu hawajapiga magoti kuomba msamaha
 
Hao Silk walikuwa kiboko...listen to this from Jodeci, they were making very good music but drugs destroyed their creativity ability.



Acha tu mamie FP maana candy shop inayozungumziwa hapo, mmhhh!! bora na umeusikiliza curiosity iishe!!




Yego we mchokozi kweli kweli, ofcourse napenda candies, ha ha!! sikiliza na huo wa Freak, he he!!




wow! thanks for the video, message zako ni clear kwa music..sikiliza hicho kibao hapa chini, cha longtimeee!!

[video=youtube_share;XLwW7ZDWn5 Y]http://youtu.be/XLwW7ZDWn5Y[/video]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom