BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
- Thread starter
- #81
Hahahahah lol! Mie sijaomba kuamkiwa hivyo anayependa kuamkiwa anijiju usije ukawa kama teenager king'ang'anizi wa shikamoo....lol!
ha ha haaaaa, rafiki acha utani bwana........ unafikiria vitambi vinanoga? na atakaliwa kooni mpaka kiyeyuke kabisaaaaaaaaaaa.
unapenda kuamkiwa weye? anza kwanza kuniamkia mimi dada mkubwa, lol!
Last edited by a moderator: