Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

yani we bado m'bichi kabisa anza sasa usije kusema hujaambiwa muda ndio huu.

wenzako kwa umri huo tayari wana watoto angalau 2,na wanamiliki vyombo(uchumi)
at 40 watoto watakua angalu na 19 yrs(pengine atabahatika kuona wajukuu mapema)
wewe je? Una nini?
Mwisho wa ubichi lini?
Kesho waijua?
 
I believe I can fly....coz mambo mengi nliyoyafanya yanafanikiwa kwa 100% na bado sijafika 40 still under 30...my dad is my role model... Katoka musoma kwenye familia maskini ya wauza karanga bt today...ni mmoja Wa watu..a beautiful giraffe cannot be a monkey as we persuade for happiness.
 
Family financial background matter , please dont compare:clock: ...Abeg
 
"Wewe ukitoa laki moja basi mpaka mtaa wa saba watakujua!

hahahahahah chezea laki usawa huu wewe ?lazima ukantangaze Babu we
 
Mafanikio ni neno lenye tafsiri tofauti tofauti, hivyo kuna vipimo mbalimbali kutokana na malengo/dunia aliyopo mhusika. Hivyo vipimo ulivyoeleza kama;
>kiwanja cha 300m
>kutembea nje ya nchi
>kula ritz e.t.c...
Si tafsiri sahihi ya mtu aliyefanikiwa.
#Meaning Is Internal And Individual...
 
wenzako kwa umri huo tayari wana watoto angalau 2,na wanamiliki vyombo(uchumi)
at 40 watoto watakua angalu na 19 yrs(pengine atabahatika kuona wajukuu mapema)
wewe je? Una nini?
Mwisho wa ubichi lini?
Kesho waijua?
Usimkatishe tamaa kibongo bongo bado hajachelewa jamaa
 
life begins at 40! So how old are you?

Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.
Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.

Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae kufika 40 bado umeajiriwa kwa mtu na anakugombeza kwa nini mwanao anaumwa kila siku unachelewa kazini. Kazi nyingi. No bright future. No enjoyable present. Just existing and not living!
Hapo ndo unawaza kufuga ng'ombe wa maziwa kibamba kwenye kiwanja chako cha miguu 12 kwa 15! Wenzako wa umri wako hapo unasikia wameanzisha bness in australia. Wamenunua kiwanja mbezi beach kwa 300m! Wanamiliki apartment johannesburg. Wakienda uk wanaenda kula the ritz (google that). Wanasomesha watoto zao the finest schools available wewe wa kwako wakati huo wamekosa nafasi makongo wameenda kibamba secondary school wanapanda daladala sita kwenda na kurudi full kutukanwa na makonda.

Wenzako in their 40s wanasaidia wasio na uwezo katika jamii wewe ndo kwanza ukipokea simu kutoka kijijini una-mute! Wenzako in their 40s wakisikia kuna ujenzi wa nyumba ya ibada wanachangia 5m kimyakimya.. Wewe ukitoa laki moja basi mpaka mtaa wa saba watakujua! Halafu unashangaa wanazidi kuinuliwa. Mwenye nacho ataongezewa au hujui? Na asiye nacho..... (malizia)
wenzako in their 40s wana exposure ya uhakika. Walishafika kuanzia sauzi, botswana, mozambique, kenya, ethiopia, ghana, naija, mpaka egypt, the uk, australia, hawaii, mexico, croatia, the netherlands, switzerland, us, panama mpaka puerto rico, brazil na jirani zake, hong kong, australia, japan, china, (incredible) india, thailand, singapore, new zealand, comorro, you name it..!! Wewe hata kampala hujawahi fika na passport yenyewe labda hujui hata inafananaje. Kila siku tegeta posta ndo ruti yako miaka 15 mfululizo eti unatafutia watoto maisha! Unaishi au unaisha?

Acha mawazo mgando. Hiyo ajira ifanye serious sana tu lakini kwa muda tu. Jiandae kusimama mwenyewe. Kwani hujiamini? Na mungu naye humwamini? Changamoto ni sehemu tu ya kufika kileleni. Don't be afraid. Don't dwell in that comfort zone!! Unasubiri kiinua mgongo? Utaenda kukiinvest wapi na kwa nguvu ipi. Na utaenjoy retirement kweli kama at 60 yrs ndo unafungua duka la vifaa vya ujenzi eti vinalipa. Kwa nini hukufungua ukiwa 30 ili uone vinalipa au la. At 60? With due respect.

Suffer the pain of discipline now. Or else you will suffer the pain of regret. Halafu ukianza kuregret ndo pressure zinakuja, stress, nk mwisho unawacha hata hao watoto in a far worse situation than your own lifetime.

Life begins at 40 my friend.. How old are you?

Kwa hisani ya one n only!!

ha ha ha haaaaa! Kuna watu kila siku ofisini wanajadili oo nikistaafu nitanuua prado! Shame on them miaka 60! Miaka 60 umeshaisha kama ungekuwa kiatu soli imeenda upande ngozi inaliwa na udongo.!huo si umri wa ku-enjoy hata kidogo.mie nawasikiliza tu. Wengi siku mbili tatu wameshakamatwa na magonjwa ya uzeeni viharusi!preasure n.k.
 
Last edited by a moderator:
Let me do something..... Nisije nikaisha buree, ndo nipo kwenye late 20's.... Nahisi sijachelewa bado
 
  • Thanks
Reactions: amu
Umeandika vizuri ila umepitiliza mpaka imekuwa kejeli.mafanikio ya maisha yanatofautiana kulingana na family status

. Kama kwako kuruka na ndege na kuwa na plot mbezi hiyo ni maoni yako lakini so kipimo cha mafanikio. KWA kuwa wapo waliozaliwa huko na wanaenda hizo nchi kabla ya kujitegemea. Je?? Wakienda ukubwani wamefanikiwa?????
 
Back
Top Bottom