Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Wooorrd!!

Nilijuaga nikifika 30 nitakua na helicopter na boti. Hehehehe. Kuvipata legally kidogo ni ngumu kumbe.

Ila realistically 30 ni kipindi chakuchakarika kama mwendawazimu, huko 40 mimi naona ni watu walio feli 30 kujifariji na kujiongezea mda wenyewe.

Anyways there is no set formula! Nina anko wangu kawa millionea at 60 baada ya kuwa mwalimu hadi alipokua 55. Halafu alichelewa kuzaa, watoto wanaharibikiweje wale!! Au sijui ndio kula bata mnasema!
 
Dah! Full ukweli, ngoja nijichange ninunue hata bajaji tu, inaweza ntoa ....
 
Kwanza sijapanga maplan tooo mch (naona kama hayawezekani) hayo ninayotaka namuomba Mungu ayasimamie yatimie kabla 40.....

ni kweli unatakiwa upange unayoyaona yanawezekna na yanatekelezeka na uwe na idea utaanzia wapi
 
Maulana atatusaidia inshaalah......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
at 40 uwe umeshafanya hata nusu ya hayo

Huyu mwanamke ambaye kaolewa kutoka familia masikini...kakuta visenti kwa hiyo ndiyo anaanza ngebe...amuulize baba yake mpaka anatimiza miaka 40 alikuwa na kuku wa ngapi..??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimepigwa za uso, haki ya Mungu! Nimekuwa mpole ghafla. Nakubali, penye ukweli uongo hujitenga. Aisee sasa labda niapply "It's never too late to mend".
Kwa kujipa moyo nasema "Never say never in life". ONE DAY YES!
 
sawa bi dada,ni ukweli mtuuuuuupu...asante,u just made my day!
 
inatakiwa uwezo wa kuthubutu kufanikisha lolote maishani. Anae'risk more' ana uwezekano mkubwa wa kufaulu. The one who risk nothing will die trying
 
inatakiwa uwezo wa kuthubutu kufanikisha lolote maishani. Anae'risk more' ana uwezekano mkubwa wa kufaulu. The one who risk nothing will die trying
Kweli mkuu wengi wetu tunakufa masikini kwa sababu ya uoga wetu.....


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
LIFE BEGINS AT 40! So how old are you?

Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.
Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.

Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae kufika 40 bado umeajiriwa kwa mtu na anakugombeza kwa nini mwanao anaumwa kila siku unachelewa kazini. Kazi nyingi. No bright future. No enjoyable present. Just existing and not living!
Hapo ndo unawaza kufuga ng'ombe wa maziwa kibamba kwenye kiwanja chako cha miguu 12 kwa 15! Wenzako wa umri wako hapo unasikia wameanzisha bness in Australia. Wamenunua kiwanja Mbezi Beach kwa 300M! Wanamiliki Apartment Johannesburg. Wakienda UK wanaenda kula The Ritz (Google that). Wanasomesha watoto zao the finest schools available wewe wa kwako wakati huo wamekosa nafasi Makongo wameenda Kibamba Secondary School wanapanda daladala sita kwenda na kurudi full kutukanwa na makonda.

Wenzako in their 40s wanasaidia wasio na uwezo katika jamii wewe ndo kwanza ukipokea simu kutoka kijijini una-mute! Wenzako in their 40s wakisikia kuna ujenzi wa nyumba ya ibada wanachangia 5M kimyakimya.. Wewe ukitoa laki moja basi mpaka mtaa wa saba watakujua! Halafu unashangaa wanazidi kuinuliwa. Mwenye nacho ataongezewa au hujui? Na asiye nacho..... (Malizia)
Wenzako in their 40s wana exposure ya uhakika. Walishafika kuanzia Sauzi, Botswana, Mozambique, Kenya, Ethiopia, Ghana, Naija, mpaka Egypt, The UK, Australia, Hawaii, Mexico, Croatia, The Netherlands, Switzerland, US, Panama mpaka Puerto Rico, Brazil na jirani zake, Hong Kong, Australia, Japan, China, (Incredible) India, Thailand, Singapore, New Zealand, Comorro, you name it..!! Wewe hata Kampala hujawahi fika na Passport yenyewe labda hujui hata inafananaje. Kila siku Tegeta Posta ndo ruti yako miaka 15 mfululizo eti unatafutia watoto maisha! Unaishi au unaisha?

Acha mawazo mgando. Hiyo ajira ifanye serious sana tu lakini kwa muda tu. Jiandae kusimama mwenyewe. Kwani hujiamini? Na Mungu naye humwamini? Changamoto ni sehemu tu ya kufika kileleni. Don't be afraid. Don't dwell in that comfort zone!! Unasubiri kiinua mgongo? Utaenda kukiinvest wapi na kwa nguvu ipi. Na utaenjoy retirement kweli kama at 60 yrs ndo unafungua duka la vifaa vya ujenzi eti vinalipa. Kwa nini hukufungua ukiwa 30 ili uone vinalipa au la. At 60? With due respect.

Suffer the pain of discipline now. Or else you will suffer the pain of REGRET. Halafu ukianza kuregret ndo pressure zinakuja, stress, nk mwisho unawacha hata hao watoto in a far worse situation than your own lifetime.

Life Begins at 40 my friend.. How Old Are You?

Kwa Hisani ya One n Only!!

Kwenye kipindi cha gospel cha pastor Haris wa clouds leo asubuhi alikuwa akizungumzia mambo kama haya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom