Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

inatakiwa uwezo wa kuthubutu kufanikisha lolote maishani. Anae'risk more' ana uwezekano mkubwa wa kufaulu. The one who risk nothing will die trying

Hapo kwenye kurisk ndo mtafutano unaanza we lisikie hilo neno RISK hivyo hivyo ila ukilitekeleza kama huna moyo wa plastic na kumtumainia Mwenye Enzi aaaaaaa lazima usande game! We unafanya mchezo nini kukaza miaka 10-20 ndo mambo yatulie
 
Am 31 najiona km nimechelewa mambo mengi..m
 
Hii post imekaa kitoto na kikubwa pia. Preference za maisha zinatofautiana, wako watu na mipesa yao kibao na hawajawahi toka (hata first world wapo kibaao).


Kusema kutokua na ppt ama kufika huko abroad ninkuchelewa unadanganya watu. Utaenda kwa sababu gani? LaZima uwe na sababu huwezi enda tu (with presumption waTz hatunaga holidays)!

Kila mtu anaishi apendavyo na kwa muono atakao, wewe kama uko 50 na hujaenda majuu wala usiwaze lafe is how u make it hata hapo kijijini ni safi tuu usife moyo.
 
LIFE BEGINS AT 40! So how old are you?

Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.
Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.

Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae kufika 40 bado umeajiriwa kwa mtu na anakugombeza kwa nini mwanao anaumwa kila siku unachelewa kazini. Kazi nyingi. No bright future. No enjoyable present. Just existing and not living!
Hapo ndo unawaza kufuga ng'ombe wa maziwa kibamba kwenye kiwanja chako cha miguu 12 kwa 15! Wenzako wa umri wako hapo unasikia wameanzisha bness in Australia. Wamenunua kiwanja Mbezi Beach kwa 300M! Wanamiliki Apartment Johannesburg. Wakienda UK wanaenda kula The Ritz (Google that). Wanasomesha watoto zao the finest schools available wewe wa kwako wakati huo wamekosa nafasi Makongo wameenda Kibamba Secondary School wanapanda daladala sita kwenda na kurudi full kutukanwa na makonda.

Wenzako in their 40s wanasaidia wasio na uwezo katika jamii wewe ndo kwanza ukipokea simu kutoka kijijini una-mute! Wenzako in their 40s wakisikia kuna ujenzi wa nyumba ya ibada wanachangia 5M kimyakimya.. Wewe ukitoa laki moja basi mpaka mtaa wa saba watakujua! Halafu unashangaa wanazidi kuinuliwa. Mwenye nacho ataongezewa au hujui? Na asiye nacho..... (Malizia)
Wenzako in their 40s wana exposure ya uhakika. Walishafika kuanzia Sauzi, Botswana, Mozambique, Kenya, Ethiopia, Ghana, Naija, mpaka Egypt, The UK, Australia, Hawaii, Mexico, Croatia, The Netherlands, Switzerland, US, Panama mpaka Puerto Rico, Brazil na jirani zake, Hong Kong, Australia, Japan, China, (Incredible) India, Thailand, Singapore, New Zealand, Comorro, you name it..!! Wewe hata Kampala hujawahi fika na Passport yenyewe labda hujui hata inafananaje. Kila siku Tegeta Posta ndo ruti yako miaka 15 mfululizo eti unatafutia watoto maisha! Unaishi au unaisha?

Acha mawazo mgando. Hiyo ajira ifanye serious sana tu lakini kwa muda tu. Jiandae kusimama mwenyewe. Kwani hujiamini? Na Mungu naye humwamini? Changamoto ni sehemu tu ya kufika kileleni. Don't be afraid. Don't dwell in that comfort zone!! Unasubiri kiinua mgongo? Utaenda kukiinvest wapi na kwa nguvu ipi. Na utaenjoy retirement kweli kama at 60 yrs ndo unafungua duka la vifaa vya ujenzi eti vinalipa. Kwa nini hukufungua ukiwa 30 ili uone vinalipa au la. At 60? With due respect.

Suffer the pain of discipline now. Or else you will suffer the pain of REGRET. Halafu ukianza kuregret ndo pressure zinakuja, stress, nk mwisho unawacha hata hao watoto in a far worse situation than your own lifetime.

Life Begins at 40 my friend.. How Old Are You?

Kwa Hisani ya One n Only!!

Mungu atusaidie tutumie ujana wetu with wisdom .Mimi hata 30 sijaifikia lakini ninaamiini siku moja baada ya miaka kadhaa nitaifikia . Thanks!
 
Last edited by a moderator:
Mie nna 33 Lakini alhamdulillah nimetembea Tanga dar znz na viji Nchi viduchu kiasi namshukuru mungu....
 
Hahahahah mi imebaki miaka 19 nifikie 40 i believe there is a bright future ahead of me!!
 
Mkuu big up umechagiza vizuri sana. Tuache woga.
 
Kutusua hakuna muda maalumu wala umri...mbona babu wa loliondo katusua late sana...!!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ina maana ya msingi ambayo nime i relate nikaona ni kweli...iko ivi..kijana anapofikisha au kukaribia forty..unakuta ameshafanya vitu vingi saana vya ujanani,kama vile starehe,madem na mengineyo,na kuna tafiti inasema sex inachukua muda na nguvu nyingi sana kuliko vitu vyote,sasa umri huo huwa kote huko unakuta mtu keshapita na kinachobakia cha muhimu ni utafutaji na maendeleo!
 
Asante sana, sijui nikupe nini, natamani ungekua member on my family. I wish to have a friend like you
 
Nimehisi tumbo likikata ghafla. Huu uzi sikuuona...!! Ooh gosh the clock is ticking really fast..!
 
Jiulize kwanza,

Miaka inavyosonga mbele, wewe unaishi au Unaisha!!

Maisha unayoisha sasa ndio maisha yako. You have to admit that then take this advice as a challenge to weigh out your current situation.

Sio kwamba baada ya kusoma tu hapa unaanza kuchanganyikiwa.. Ujue unaenda kujiandalia mental disorder huta fanya lolote utabaki kuwaza mipango isiyofanikiwa.

I had a friend of mine alikuwa mfabiashara mdogo (sikuwahi kujua mtaji wake una range wapi), tulikuwa tunataniana ananiambia baada ya mwaka mmoja atakuwa ananituma nikaoshe gari yake kama sio cruiser VX-R basi itakuwa Range, he had that dream lakini nikiona hali yake na muda anao dai atafanya mageuzi sikuwahi kuhisi uwiano.

Mpaka leo hii almost five years sijaiona hata bito VW na mi ndio na mwazima yangu.

So my point is weka mipango inayo tekelezeka achana na ndoto kubwa kuliko akili yako. Utaishia lawama mpaka unazikwa eti kisa unakimbizana na umri.
 
Binadamu ni viumbe wa ajabu.....tunajinyima leo ambayo tunaiona ambayo tunaishi ambayo tuna afya tele...tunaiwaza future ambayo hatuijui wala hatujawahi kuiona na pengine hatutaiona kamwe......MAISHA YAKO NI LEO ISHI LEO.....
 
na wengine at 40 ndo wanamaliza masomo ya udakitari....ndio wanafikiria kuoa.........
Wenzao at 40 tayari wana wajukuu kwa wale watoto waliozaliwa at 18.....na mbaya zaidi wanamiliki maghorofa kariakoo na kwenye miji mingine tz bara....
Aliye wapa wao ndiye.........
Riziki mafungu................
The future is not for us to see
 
Back
Top Bottom