Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Hapa vijana wasiokuwa na ajira hawawezi kukuelewa wataona kama unawakejeli/unawatukana, kumbe ni ushauri wa mwaka mzima wa 2016/2017.
kumbe huna ajira ndo unakuja kutolea watu stress zako humu .sijui nani atawapa ajira kwa akili zenu ndogo kama piriton.
 
Hii post mbona imekaaa kimajungu majungu kama mtu amefikisha miaka 40 na hana maendeleo yoyote ni yeye acha aendelee na maisha yake ,

Katika hii dunia kila mtu ana maisha yake anayoyajua mwenyewe kama ipo ipo tuu,

Mimi by know nina miaka 26 hapa nilipo natamani nifee tuu
 
good message aisee
Halafu na kenyewe ukakute kanashinda kwenye JF wala hakana mbele wala nyuma! Eti kanabaki kuwasema wenzake, kaone!! Kananikumbusha muuza dawa za mitishamba akawa anapigia debe dawa zake huku anawaponda watu wanene wakati yeye mwenyewe manyama tipwatipwa wacha watu wamsakame!
 
Huo ni msemo wanao utumia waingereza wakimaanisha maisha yako, ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa na toka umeanza kukua n.k bado maisha halisi yataanza rasmi siku ukitimiza miaka 40.

Hapo kama nauli ya daladala, ada, chakula, kodi ya nyumba, n.k basi ndo utaanza kuelewa maana ya muda uliokuwa unautumia WHATSAPP, FACEBOOK kulike picha za ajabu na story zisizokupeleka popote.

Ulipokuwa mdogo lisema, nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri,wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je sasa unavyo hivo vitu. May be yes, but my be no. Km haijatokea je bado hujawa mkubwa.

Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya. Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome inter schoools. Usishangae kufika 40 bado hujaajiriwa au kuajiriwa kila kukicha ni JamiiForums kwenye uzi wa KAZI NA TENDA. Kazi nyingi no bright future. Just existing and not living.

Hapo ndo unawaza kufuga kuku wa nyama Kibamba na Mabwepande kwenye kiwanja chako cha MIGUU 12 kwa 15 ambacho hakijapimwa. Wenzako wa umri wako hapo wameanzisha biashara in Turkey.

Wanamiliki Apartment UK, France na wanaenda kula The Ritz. Wanasomesha watoto wao finest schools wewe wakwako wakati huo amekosa nafasi Jitegemee na Makongo wameenda Mama Salma school Tandale huku wakipanda daladala nne kwenda na kurudi huku wakitukanwa na makondakta eti wakusoma usikalie siti.

Wenzako at 40s wanasidia wasio na uwezo katika jamii wewe ndo kwanza ukipokea simu kutoka kijijni mzazi anashida kiduchu unazima simu. Wenzako in their 40s wakisikia kuna tetemeko la aridhi na baa la njaa wanachangia 10M kimyakimya, wewe ukitoa elfu hamsini unamtafuta ripota mmoja wa habari ukurushe hewani.

Wakati wenzako wanapambana kimaisha wewe ulikuwa unashinda Facebook na whatsapp kuongelea UKUTA, KESI YA MILIONI SABA KWA DAKIKA 1, sijui kufunja viti uwanja wa taifa. Unajua Diamond kaimba vizuri na Raymond akimshirikisha Hamisa. Mimba ya Sepetu ni hewa. Zari agombana na mama mkwe.

Wenzako katika umri wa 40 wana exposure ya kutosha. Wewe 40 bado umeajiriwa na mchana unakula kwa mama lishe, wakati wenzako walishaacha kazi wanatembelea nchi mbalimbali duniani. Zitaje uwezavyo.

Wewe hata Bujumbura au Zanzibar hujawahi kufika. Kila kukicha MBEZI POSTA, TEGETA KARIAKOO ndo ruti yako mfululizo kwa miaka 20 eti unawatafutia watoto maisha. Eti mimi nina mshahara mzuri nalipwa laki nane ngazi ya shahada bado posho. Huo ni mshahara mzuri kweli.

Then unasubiri kiinua mgongo cha LAPF, NSSF kwa makato ya elfu 55 kwa mwezi ndani ya miaka 30. Utaenda kuinvest wapi na kwa nguvu ipi at 60yrs, tena unafungua duka la chakula ali maarufu kwa Mangi shop. Kwanini hukufungua ukiwa na 30yrs ili uone linalipa au la.

Kisa ulikuwa unafuatilia ratiba zote za mechi za mpira wa kimaitaifa nahuku ukicheza kamali mbaya alimaarufu KUBETI. Ukifuatilia ratiba za matamasha ya fiesta na mikutano yote ya kisiasi. Hao unaofuatilia wamo ndani ya kazi yao tena kwenye idara ya propaganda za chama.

Ulikuwa unatumia muda mwingi kufuatilia vichekesho, sijui nani kafulia, nani mjamzito. Kama hujui ndugu hivyo vitu vinagharimu muda wako. Umri wako siyo hesabu ya mwaka, ni sekunde inayozaa dakika na lisaa. Amka kijana. Wasukuma wanasema time is money. Mungu siyo mjinga kukupa umri huu wa ujana. Faidika na ujana kabla ya uzee haujakukuta. Na uzee siyo mzigo wala tusi, ila jiulize utafikaje huko.

LIFE BEGINS AT 40, HOW OLD ARE YOU NOW. Scopioni na Lipumba hawatakusaidia lolote.
Mods Ungeni hii,
Ilishaletwa hapa Life Begins at 40, How Old Are You Friend?
CC INNOVATOR, Reserved, Mod 4, Mhariri
 
"...for us physicists believe the separation between past, present, and future is only an illusion, although a convincing one." Albert Einstein

Ziggy Marley (Dragonfly)
Everybody's worried about time
But I just keep that shit off my mind
People living on twenty four hour clocks
But we're on a ride yes we're on a ride we're on a ride that never stops.

"Terrorist Threats"
(feat. Danny Brown & Jhene Aiko)
Babylon, Babylon
At my window all I see is Babylon
On the news all I see is Babylon
And all niggas do is just babble on

Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya
udanganyifu....Al-'Imraan: 185

Kisha nikaziangalia kazi zote zilizofanywa kwa mikono yangu, na taabu yote niliyotaabika katika kuzitenda; na tazama, yote ni ubatili na kujilisha upepo, wala faida hakuna chini ya jua. MHUBIRI 2:11
Safi kabisa hii kuliko thread yenyewe, hapo umemaliza.
Life is full of vanities, hakuna cha 40 wala 50. Waache wale bata at 40 upate kansa na kisukari at 50.
 
Hii post mbona imekaaa kimajungu majungu kama mtu amefikisha miaka 40 na hana maendeleo yoyote ni yeye acha aendelee na maisha yake ,

Katika hii dunia kila mtu ana maisha yake anayoyajua mwenyewe kama ipo ipo tuu,

Mimi by know nina miaka 26 hapa nilipo natamani nifee tuu
Hahah aha....Mungu hajaribiwi ujue,wishing u long live hata hivyo!!
 
Ni ujumbu mzuri sana,ila kujihusisha na mipira na starehe zingine sio kigezo cha kutotoboa kabla ya 40,ni mipango tu na mikakati.
 
Hii ni ngumu kumesa lakini hakuna namna...
Lazima imguse yeyote yule.
Umenipa hamasa,ubarikiwe.
 
Mkuu to be honestly,hili jiwe limetugusa na kutuchoma sana,ni ukweli,ukweli,ukweli mtupu hadi milele,na sisi vijana wote tunaojifanya wa mjini na kujua kila kitu,umetugusa na kutuchoma mno ndani ya nafsi ,hakika umebarikiwa kutoa maneno ambayo yatatusaidia ku'push hard,thanks for touching words,ingawa for sure umejigusa mpaka mwenyewe...

Wito wangu kwake ni kuweka na mbadala halisi wa jujinasua na sio kutuambia tuna kipindupindu, kisha hutupi mbinu za kukitokomeza.

Pls tuonyeshe kichochoro cha kutokea tukitoka TUTACHONGA BARABARA. USIWE KAMA MWANA SIASA KWENYE HILI.
 
Mi maisha yameanza tangu siku ya kwanza niione dunia...Hiyo ya miaka 40 bakini nayo nyie kila mtu na maisha yake atii!!

Kuwa tofauti ni sawa tu!![emoji56][emoji56][emoji56]
 
Life begins when you are born to this world and it stops whenn you die. In between you can never limit your self with that blah blah of 40. As longer bado una nguvu na afya njema never stop to fight. Kwa hiyo ukifika arobaini ndo ukate tamaa kwamba haiwezekani?
 
The Story of Colonel Sanders, a Man who Started at 65 and Failed 1009 Times Before Succeeding


Whether you like KFC or not, the story of Colonel Harland Sanders is truly amazing. This story is inspirational because it’s an example of how perseverance, dedication, and ambition along with hard work can create success; regardless of your age.

Colonel Harland Sanders has become a world-known figure by marketing his “finger lickin’ good” Kentucky Fried Chicken.

The spectacled Colonel Sanders could easily be identified by his clean, crsip white suite, black string tie, and walking cane. A statue of this man can be seen as far away as on Nathan Road in Kowloon, Hong Kong, for one place.


One of the most amazing aspects of his life is the fact that when he reached the age of sixty-five, after running a restaurant for several years, Harland Sanders found himself penniless. He retired and received his first social security check which was for one hundred and five dollars. And that was just the beginning of his international fame and financial success story…

Col. Sanders was a fellow who really loved to share his fried chicken recipe. He had a lot of positive influence from those who tasted the chicken. Now, the Colonel was retired and up in age and while most people believed in the sanctimony of retirement, the Colonel opted to sell the world on his cool new chicken recipe. With little in terms of means at his disposal, Colonel Sanders traveled door to door to houses and restaurants all over his local area. He wanted to partner with someone to help promote his chicken recipe. Needless to say, he was met with little enthusiasm.

He started travelling by car to different restaurants and cooked his fried chicken on the spot for restaurant owners. If the owner liked the chicken, they would enter into a handshake agreement to sell the Colonel’s chicken. Legend has it that Colonel Sanders heard 1009 “no”s before he heard his first “yes”.


Ok, let me repeat that.

He was turned down one-thousand and nine times before his chicken was accepted once!

Colonel in front of his first KFC store. The deal was that for each piece of chicken the restaurant sold, Sanders would receive a nickel. The restaurant would receive packets of Colonel’s secret herbs and spices in order to avoid them knowing the recipe. By 1964, Colonel Sanders had 600 franchises selling his trademark chicken. At this time, he sold his company for $2 million dollars but remained as a spokesperson. In 1976, the Colonel was ranked as the world’s second most recognizable celebrity.

It’s amazing how the man started at the age of 65, when most retire, and built a global empire out of fried chicken.

“Believe. Dream. Try. Succeed. Age, no bar!”

Now… I’m hungry.
 
Oky good msg ila hivi kwanini watu wanaona kwny ajira mtu huwezi kutoka..jmn I know some corporate people wanaondoka na hela ndefu career wamezijenga for like 20 yrs hv saiv wanavuna,isn't that worth it?? Okee I know kuna kustaafu buhht...kwny ajira zingine ndo watu wanapata na mitaji humo,ama wengine wanaanzisha firm zao na nini,is it like wote tuwe wafanyabiashara?au wakulima per se
 
Back
Top Bottom