Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Life Begins at 40, How Old Are You Friend?

Kweli mkuu wengi wetu tunakufa masikini kwa sababu ya uoga wetu.....


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hapa nimekukubali kuliko pale ulipomshambulia mtoa mada badala ya kuangalia mada inasemaje na je ina manufaa kwako? Sisi tunaoamini Mungu muhubiri anapohubiri huwa tunaona anajihubiria na yeye pia so hatunaga muda wa kuyapima maisha yake otherwise hatutapata ujumbe kwani no one is perfect.
 
Huyu mwanamke ambaye kaolewa kutoka familia masikini...kakuta visenti kwa hiyo ndiyo anaanza ngebe...amuulize baba yake mpaka anatimiza miaka 40 alikuwa na kuku wa ngapi..??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kaka,
Ni ujumbe kwa hisani ya One n Only, wala sijazaliwa nikazikuta, Bali niliwazaga haya kitambo tu nikaanza kuchakarika!!
 
Last edited by a moderator:
LIFE BEGINS AT 40! So how old are you?

Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.
Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.

Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae kufika 40 bado umeajiriwa kwa mtu na anakugombeza kwa nini mwanao anaumwa kila siku unachelewa kazini. Kazi nyingi. No bright future. No enjoyable present. Just existing and not living!
Hapo ndo unawaza kufuga ng'ombe wa maziwa kibamba kwenye kiwanja chako cha miguu 12 kwa 15! Wenzako wa umri wako hapo unasikia wameanzisha bness in Australia. Wamenunua kiwanja Mbezi Beach kwa 300M! Wanamiliki Apartment Johannesburg. Wakienda UK wanaenda kula The Ritz (Google that). Wanasomesha watoto zao the finest schools available wewe wa kwako wakati huo wamekosa nafasi Makongo wameenda Kibamba Secondary School wanapanda daladala sita kwenda na kurudi full kutukanwa na makonda.

Wenzako in their 40s wanasaidia wasio na uwezo katika jamii wewe ndo kwanza ukipokea simu kutoka kijijini una-mute! Wenzako in their 40s wakisikia kuna ujenzi wa nyumba ya ibada wanachangia 5M kimyakimya.. Wewe ukitoa laki moja basi mpaka mtaa wa saba watakujua! Halafu unashangaa wanazidi kuinuliwa. Mwenye nacho ataongezewa au hujui? Na asiye nacho..... (Malizia)
Wenzako in their 40s wana exposure ya uhakika. Walishafika kuanzia Sauzi, Botswana, Mozambique, Kenya, Ethiopia, Ghana, Naija, mpaka Egypt, The UK, Australia, Hawaii, Mexico, Croatia, The Netherlands, Switzerland, US, Panama mpaka Puerto Rico, Brazil na jirani zake, Hong Kong, Australia, Japan, China, (Incredible) India, Thailand, Singapore, New Zealand, Comorros, you name it..!! Wewe hata Kampala hujawahi fika. Kila siku Tegeta Posta ndo ruti yako miaka
 
Mkuu hayo makundi mawili ya watu unayoyaongelea wewe uko kundi gani? please big_in usiache kujibu.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa mwana Ccm utayatimiza hayo kabla ya miaka 30 coz kuna fursa ZA kifisadi nyingi sana.

Vinginevyo tutakuwa tunafanganyana mchana kweupeeeeeeeeeeee...
 
Hapa nimekukubali kuliko pale ulipomshambulia mtoa mada badala ya kuangalia mada inasemaje na je ina manufaa kwako? Sisi tunaoamini Mungu muhubiri anapohubiri huwa tunaona anajihubiria na yeye pia so hatunaga muda wa kuyapima maisha yake otherwise hatutapata ujumbe kwani no one is perfect.

Kweli mkuu nilimwelewa vibaya mtoa mada....thanks kwa kuniweka sawa...
 
Unaweza kuwa unaongea ukweli lakini ni kwa baadhi ya watu. Hiyo lifestyle unayoongelea ni ya matajiri na siyo ya watu wenye maisha ya wastani. Ukweli nimkuwa siyo watu wote ni matajiri wa kupindukia kama ulivyoeleza.
 
Huu usemi ni kweli kabisa but Ina apply kwa 10% y watu tena wa ulaya kwa hapa Tanzania kama uko 35 na hujapata sahau
Kwani kama una watoto bills ndo zinonggezeka uwezo wa kuchkarika pia unapunngua, lakini kama ni mla rushwa sawa inawezekana
 
kama unamsuta mtu vile,halafu "unaisha unaishi"
 
Kwenye kipindi cha gospel cha pastor Haris wa clouds leo asubuhi alikuwa akizungumzia mambo kama haya

Mi hii msg kanionyesha mshkaji wangu fulani mida ya saa 6 hv nikataka niitupie humu nikaona haina haja ntaikuta tuuuu
 
Back
Top Bottom