Hivi unaongea kwa ushahidi au ushabiki!?Gaddafi alikuwa kiongozi dikteta, muuaji na mdhulumishi aliyewahadaa wananchi wake kwa vimisaada vidogo huku yeye akijilimbikizia mali nyingi. Alidiriki kuwaua wapinzani wake na kuwafunga kwa muda mrefu wote wanaomchukia. Hakuna kingine anachostahili ili kukabiliana na mashtaka yake kwenye ICC na ikiwezekana anyongwe ili akaonane na mwenzake Saddam.
<br />Hivi unaongea kwa ushahidi au ushabiki!?
Yaani unaombea wenzako wauane, hata dikteta Gaddafi hakuwa na roho mbaya kama yako.Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,
In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,
Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.
Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.
Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.
Hivi unaongea kwa ushahidi au ushabiki!?
Thank you bro. mie nipo pamoja na Gadafi. Wale tu wenye uvivu wa kufikiri watawaunga mkono waasi na mabepari wao.Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,
In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,
Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.
Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.
Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.
Shabiki, ah ah ah, haya bana we shabiki.Kama angekuwa mzuri aasingechukua hizo $ bil 36... Look we ndo shabiki.
Shabiki, ah ah ah, haya bana we shabiki.Kama angekuwa mzuri aasingechukua hizo $ bil 36... Look we ndo shabiki.
Kwa hiyo wewe uliwapa ushauri wale waasi, mbona uwapelekei misaada.Nyie wote mnaojifanya mna uchungu na Gaddafi si mumtafute huko aliko na mumpe msaada. Oh sijui nina huzuni, o eti sijui alitaka kuunganisha Africa, eti ninampenda, eti ndio kiongozi pekee...bla, bla, bla. Itasaidia nini wakati Gaddafi saa izi anawindwa? Nyie kama kweli mnampenda Gaddafi si mngempa ushauri kabla hili balaa halijamkumba? Now it is too late. Trust me!
Sijawashabikia hao jamaa kwa hiyo sijui kwa nini niwapelekee misaada!Kwa hiyo wewe uliwapa ushauri wale waasi, mbona uwapelekei misaada.
Umeandika kama mlevi vile amekurupushwa.Nyie wote mnaojifanya mna uchungu na Gaddafi si mumtafute huko aliko na mumpe msaada. Oh sijui nina huzuni, o eti sijui alitaka kuunganisha Africa, eti ninampenda, eti ndio kiongozi pekee...bla, bla, bla. Itasaidia nini wakati Gaddafi saa izi anawindwa? Nyie kama kweli mnampenda Gaddafi si mngempa ushauri kabla hili balaa halijamkumba? Now it is too late. Trust me!
Mkuu jukwaa la dini limekupumbaza akili kabisaMimi binafsi nimefurahishwa sana kwa jinsi huyu tyrant Khaa'daafu anavyo pewa kipigo bila ya huruma na rebels. Swali ambalo bado najiuliza, ALLAH wa ISILAMU YUPO WAPI na kumwacha kiongozi wake akitolewa nishai?
Rebels nawapa big up, chapa huyu Khaa'daafu tyrant huku mkimwangalia macho.
Nyie mnao mwonea huzuni nendeni mkamsadie huyo khaaa'daafu. Yeye sasa asubiri kupewa ile dawa ya Sadam Whosain, akawahi kwenda kwa wale 72 bikira wa kishaytwain.