Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,649
- 6,832
Tangu january nimefatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa, kwa duru za vyombo vya magharibi ni kwamba wanajeshi watiifu kwa Kanali (bro Reader) M Ghaddafi wanadhibiti eneo dogo mjini Tripoli,
In short binafsi nampenda sana Kanali kwani ndie kiongozi pekee mwenye msimamo, mwenye kutumikia watu wake kwa uwezo wake wote, kutumia raslimali zilzopo kwa nchi yake ,wewe mwenyewe unaelewa na zaid,
Pia binafsi mi na wanachuo wenzangu tumefika libya hiyo ni moja ya machache mazuri ya Mzee nnayoweza kushuhudia je wale walibya.
Sio siri binafsi nawalaan saana waasi waliokubali kutumiwa na mabeberu kufanya hiyo dhambi.
Waasi nawaombea waingie ktk machafuko zaidi ya somalia na kamwe wasifikiri mambo yatakuwa kama walivyopanga.