Maandamano haya,yawe ya kuomboleza pia kifo cha masoud aliyeuawa kikatili na CCMWaunganishe na ya CDM, na madai yaongezeke! Wekeni na la umeme, mikopo ya wanafunzi, Nyumba za polisi na mishahara yao, madai ya waalimu pamoja na mikataba mibovu kama ya UDA, Kiwira na zile 3T za mnajimu.
Natamani samwel sita na wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya ccm wawepo kuonyesha hii kitu sio siasa coz kuna sehemu huku site washaanza kuwa chadema wana mkono wao hapo,haya shime wanajamvi ndio muda wa kuonyesha uzalendo kwa nchi yetu tujitokeze kwa wingi kupinga dhuluma ya hawa mashetani.
Hivi huyu Masoud amewahi kuleta mabadiliko gani Chadema? Au ndiyo yale mambo yetu ya kiswahili ooooh marehemu alikuwa mzuri sana ooooh marehemu alikuwa anmpenda sana mke wake kumbe marehemu mwenyewe alikuwa chapombe kila siku anatukana watu hadharani.
Sina mengi,lakini maandamano ya tar 14 nchi nzima tutaueleza ulimwengu jinsi Masoud wakala wa CHADEMA alivyouawa kikatili na CCM/SERIKALI pale Igunga.
Pole ndugu hakuna serikali inayoitwa ya ccm ila kuna kikundi cha mafia na wauaji walioteka serikali baada kifo cha rais wa taifa la tanzania Julius Kambarage Nyerere!Serikal ya CCM,hakuna kipindi ambacho wanapaswa kutumia busara katika maamuzi kama kipindi hiki cha sasa.Kitendo cha kuibuka kuyazuia maandamano haya Kiharakati ni kujichimbia kaburi la msiba kabla ya msiba.Manake wasivyoaminika kwa maamuzi yanayoleta dukuduku la utata dakika za mwisho mwisho usishangae polisi wanaibuka dakika za lala salama masaa machache kabla ya wanaharakati hao kuwepo barabara na kusema YATA HATARISHA AMANI ya raia wengine.
We mtu ametoka kwake D'Salaam kwa ajili ya chama na amekufa akiwa katika mchakato wa kuhakikisha chama chake kinashinda halafu unasema amefanya nini CDM au ndiyo mambo ya kiswahili! Wewe Kukusimba, hebu lione hilo kuna pekee ni kitendo cha kujitoa kulingana na nafasi yake aliyokuwanayo ni imani yangu kama angekuwa na nafasi ya juu zaidi labda angefanya makuu zaidi.Hivi huyu Masoud amewahi kuleta mabadiliko gani Chadema? Au ndiyo yale mambo yetu ya kiswahili ooooh marehemu alikuwa mzuri sana ooooh marehemu alikuwa anmpenda sana mke wake kumbe marehemu mwenyewe alikuwa chapombe kila siku anatukana watu hadharani.