fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 999
- 668
Kama kichwa Cha habar hapo juu!
Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya!
Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina built in decoder maana Kila nikisearch channels za kwenye cable inaniletea na channels za Startimes!
Inashika channels 68 Ila zinazoplay ni 2 tu! TBC1 na StarGuide
Je naweza kujiunga na huduma za Startimes kwa kutumia hii decoder ya kwenye tv Ila nikawa nailipia nione channel za kulipia?
Nikisema Ninunue card hii tv yangu Haina sehem ya kuwekea card!
Wadau naomba mnisaidie namna ya kufanya maana nataka nisev hela ya kununulia decoder ya Startimes!
Nimefika kwenye duka la Startimes jamaa amedai Hadi Ninunue card ndio nione na hii tv yangu Haina card slot!