LG TV '32 KUIUNGA STARTIMES

subiri bei itajulikana mkuu masna ndipo tunapoelekea, utakumbuka majuzi tcra walitangaza kuwa hakuna haja ya mlundikano wa ving'amuzi kwa wateja. akina azam na nduguze watatuuzia kadi pekee.
Asante mkuu. Hiki ndicho nilitamani kusikia. Sikuwa naamini kuwa hizi slot kwenye tv zimewekwa bila kazi.

Wanauzaje?
1568484628967.jpeg
1568484628900.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom