TCRA tusaidieni wenye Smart TV zenye Built-in Decoder

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,955
Reaction score
8,923
Teknolojia imekuwa sasa. Kama ambavyo zama za analojia, ilikuwa ukinunua TV unapata channel zote za analojia bure.

Sasa hivi kuna Digital TV, mfano hii yangu TCL 32" Smart TV nimeunganisha kiantena cha startimes kwenye antena port yake nikanasa channel 70+ ila za ndani tatu zikaonyesha (clouds, ITV na EATV).

Channel nyingine ziko "Scrambled" na hamna namna ya kuzifungua.

Nimeona ni vyema TCRA mkaangalia namna ya kutusaidia ku "unscramble" hizo channel ili tufaidi bila kulazimika kuongeza gharama za kununua visimbuzi vingine na kuongeza bure idadi ya device nyumbani bila sababu.

Zingatia TV zenye built in Decoder ni gharama sana. Nanyi tutawafaidisha kwa msaada mtakaotupatia.

Wawekezaji pia kama Star Media StarTimes Tanzania na wengineo waangaie namna ya kutuwezesha kuona channel hizo hata kwa malipo kidogo bila gharama ya kununua ving'amuzi.

Nawasilisha.
 
ICT OFFICER,
Weka Antenna mkuu. Hizi za Nyumbami zinafaa zishike zote Free. Ila TCRA na Wawekezaji wanapaswa kutumia Fursa.
Natamani niwe na TV, Speakers na HDD tuu.

Mambo ya Deki na Kingamuzi natamani niyaweke pembeni maana inawezekana kwa hii Smart TV niliyonayo.
 
Nimebadili setting kwenye tuner nikaweka Kenya kama nchi badala ya Tanzania nimepata channel nyingi za bure zikiwemo nyingi za Tanzania. Kesho najaribu kuweka India nione kama nitanasa channel zao.

Penye Nia Pana Njia
Na U - Genius unachangia.
 
Hizi built in si zinakuja na dish!?.. ina maana ukiweka antenna utapata na FTA channel?
 
Weka Antenna mkuu. Hizi za Nyumbami zinafaa zishike zote Free. Ila TCRA na Wawekezaji wanapaswa kutumia Fursa.
Natamani niwe na TV, Speakers na HDD tuu.

Mambo ya Deki na Kingamuzi natamani niyaweke pembeni maana inawezekana kwa hii Smart TV niliyonayo.
unatumia dishi au hicho hicho ki antena?
 
Katika shirika hewa ni hao TCRA yaani hata hawa wasumbufu wa mbet sijui Instamoko zimewashinda ndio mnawaeleza maswala DVB hamna kitu hapo walichofanikiwa ni kufungia simu fake tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimebadili setting kwenye tuner nikaweka Kenya kama nchi badala ya Tanzania nimepata channel nyingi za bure zikiwemo nyingi za Tanzania. Kesho najaribu kuweka India nione kama nitanasa channel zao.

Penye Nia Pana Njia
Na U - Genius unachangia.
Ni king'amuzi gani ulivyofanya ivyo ukapata channel za bure
 
TCRA hawawezi kukusaidia kwa lolote,kama vipi hamia kenya au atleast hata Yuganda,kamaa unataka maisha mtelezo
 
CCM zee imetufikisha hapa. Mimi kama mwanaCCM mpya naamini tutafika
 
Teknolojia imekuwa sasa. Kama ambavyo zama za analojia, ilikuwa ukinunua TV unapata channel zote za analojia bure.

Sasa hivi kuna Digital TV, mfano hii yangu TCL 32" Smart TV nimeunganisha kiantena cha startimes kwenye antena port yake nikanasa channel 70+ ila za ndani tatu zikaonyesha (clouds, ITV na EATV).

Channel nyingine ziko "Scrambled" na hamna namna ya kuzifungua.

Nimeona ni vyema TCRA mkaangalia namna ya kutusaidia ku "unscramble" hizo channel ili tufaidi bila kulazimika kuongeza gharama za kununua visimbuzi vingine na kuongeza bure idadi ya device nyumbani bila sababu.

Zingatia TV zenye built in Decoder ni gharama sana. Nanyi tutawafaidisha kwa msaada mtakaotupatia.

Wawekezaji pia kama Star Media StarTimes Tanzania na wengineo waangaie namna ya kutuwezesha kuona channel hizo hata kwa malipo kidogo bila gharama ya kununua ving'amuzi.

Nawasilisha.

habari yako, tunashukuru kwa maoni yako tutafikisha idara husika!

pia kwa sasa startimes tuna DIGITAL TV ambazo ukinunua huitaji kuwa na king'amuzi cha nje! karibuni sana
 
Nashukuru kwa ahadi hii njema.
Naamini katika Ubora wa Huduma na Bidhaa zenu.

Itakuwa vyema mkitusaidia namna ya kulipia vifurushi vyenu kwa Smart TV zetu ambazo tayari tunazo.

Idumu StarTimes Tanzania!
 
habari yako, tunashukuru kwa maoni yako tutafikisha idara husika!

pia kwa sasa startimes tuna DIGITAL TV ambazo ukinunua huitaji kuwa na king'amuzi cha nje! karibuni sana
CI module mnauza bei gani ? malipo ni bei gani kwa mwezi ya channel zake ?
 
Back
Top Bottom