Let's Play This Game, USIHARIBU

babu badala ya kunilinda mjukuu wako unanitupia kwenye majanga!

no my dear, hajakupeleka kwenye majanga bali kwenye neema, kumbuka jf ina zaidi ya memba 80000 lakini ameona katika hao wote ni bora uwe na mimi, tuheshimu busara za babu Asprin. I hope hako ka chansi moyoni mwako ntakapata?
 
Last edited by a moderator:
hahaha! Muonee huruma huyo mtakatifu...... Au income statement yake hairidhishi? Lol

mh! we cathy wewe huoni ni heshima ya pekee umeipata kuwa nami? ama ulitaka niende kule love connect uone mtakavyopanga msululu?
 
no my dear, hajakupeleka kwenye majanga bali kwenye neema, kumbuka jf ina zaidi ya memba 80000 lakini ameona katika hao wote ni bora uwe na mimi, tuheshimu busara za babu Asprin. I hope hako ka chansi moyoni mwako ntakapata?
Akikuwekea usiku nishtue bado nna vishtobe vingi tu tena vibikira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom