Let's Play This Game, USIHARIBU

Hahahahahahahaaaa!

Hehehejhehehehehehe!

sweetlady bana.... ndo maana nakupenda

dah afadhali nimekuona babu Asprin, nilikuwa naomba unisaidie list ya wajukuu zako ambao wako singo na hujawakagua, ili nijichagulie huko maana hawa wengine ni kutafutana ugomvi na watu kama yaliyonikuta kwa Nicas Mtei na BAGAH kisa Smile!
 
Last edited by a moderator:
Copy and paste mnakera sana angalieni mtu asije akavunjwa gego kisa sredi
 
Nenda kozi ya kiinglish sio kutuharibia ustaarab hapa ebo!
Ha ha ha ha ! Siku hizi kimahama wapendandisha bei bht , elfu 20 kwa mwezi ntaitoa wapi mie ? Jamani mekumisije thatha?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: bht

Similar Discussions

Back
Top Bottom