Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,094
Nakumbuka nikiwa chuoni hadi nikawa najiulizaga mwenyewe nakosea wapi mpaka nakuwa single ? Yani nilikuwa naona wivu sana wenzangu wanavyoleta madem zao huku mimi nabaki kupigwa excile, kusifia shem huku roho inauma, n.k. Niliona naweza kumaliza chuo kwa usingle
Nikaja kugundua kwamba nipo serious sana kiasi kwamba personal life ya ujana siipi nafasi, yani route zangu zilikuwa hostel na chuoni tu Labda weekend ntaenda church imetoka hio, pindi likiisha narudi hostel ama kuwe na group discussion.
Ndipo nikaanza kubaki na wadau baada ya mapindi hata kama hakuna discussion ndio nikaweza kuongeza knowledge na connections na uwezekano mkubwa wa kuupiga ngwala usingle.
nikiwa hostel chuo kikifunguliwa wadau nilikuwa nadhani wapo chuoni kufatilia ratiba kumbe wanawindwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Nikiwa hostel nilikuwa napitwa na matamasha na events kibao ambazo wana wakienda wanaokota madodo.
Nikaja kuona maisha ya chuo ni ya kubalance kupiga kitabu kwa sana ila usisahau personal Life