Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Unapimaje "kujifanya" wakarimu nk nk na hiyo roho mbaya kwa hilo jicho la kipembuzi nini chanzo chake? weka wazi mkuu!
 
Haona zanzibar hapk hadi shekhe katoa tamko maustaz wanalawiti san watoto wa madrasa
anafanya kusudi. kama sio sera ya taasisi ulawiti utabaki kuwa maamuzi ya mtu Mmoja Mmoja.

ndio maana mashehe, mapadri, wachungsji wote wanakashfa z kulawiti kunyume na taratibu zao.

kwanza anatakiwa ajue kabla ya globalization, nchini waislam hasa waarabu walikuwa wanatuhuma hizo zaidi ya mtu mwingine yoyote. hata mwanaume alikuwa akifanya kazi Kwa mwarabu ilichukuliwa analiwa ndogo pia.

cc
@Faizafox
 
Ulivyoandika kwa kuruka ruka Mungu ndiye anajua. Mara Majusuit ni mapadre mara ndio wanakuwa viongozi wakubwa mpaka marais, mara ni CIA Duuu!! Ebu rudi uje utujuze kile ulinuia kutujuza maana mimi binafsi sijakuelewa
 
Hiyo habari.hebu jifunze
Kutumia Google kablq.hujalaumu. wengine tueifanyia utafiti wa kimtsndao kabla hatujaitumia JFNdiyo maana tunaweka source.

Hakiki ulete majibu yako.

Hakuna utafiti wa kimtandao unaweza kukupa majibu sahihi unazijua process za utafiti lakin


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilikuwa Nina mpango nimpeleke mwanangu lkn hicho kipengele cha kuwa na wazazi waislamu kitamuharibia na lengo langu halitotimia,ngoja nimtoe
Nalog off
 
Kabla ya kupata upadri lazima uweke nadhiri ya daima ( kiàpo cha milele ( point of no return) hii huwa wanasema kabisa hata kanisani mtu akiwa anakaribia kiwa padri wanasema sasa anaweka nadhiri ya daima .yes i agree with you viapo vingi na sakramenti za ukatoliki ukishaingia ni for good



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzi wako akiugua uchizi( ugonjwa wa akili kwa zaidi ya miaka miatatu ) je!! Bado hauruhusiwi kuvunja ndoa hii na kuoa aubkuolewa na mwengine??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…