Let me adress the unadressable: Jesuits & mapadri

Hiyo habari.hebu jifunze
Kutumia Google kablq.hujalaumu. wengine tueifanyia utafiti wa kimtsndao kabla hatujaitumia JFNdiyo maana tunaweka source.

Hakiki ulete majibu yako.
 
Mimi siangalii makunyanzi , ndoa ya kikristo kwangu hakuna hiki kipengele "alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu " vyote ameunganisha binadamu na mbwembwe zake !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kitu kipya kabisa since niiishi na makatekista na mapadri wa jimbo flani kwa muda wa miaka zaidi ya kumi
 
Hahahha Ajuza huwa hakubari kushindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waislam tumekatazwa kuupokea ushahidi wowote unaoletwa na mwanamke mmoja, mbona husikii lakini wewe?
Au unataka kusema hizo ni hadithi tu na Quaran haijaandika hivyo ndio maana unaendelea kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia vigezo gani kuchunguza kwa jicho la tatu na kipepumbuzi mkuu[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hopeless kabisa! huna data sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…