Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Habari !
Naomba kuuliza,
Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo kiholela?
Kwamba iwe kwa kila mpenda unywaji pombe au kileo sharti awe na Leseni ya yake ya kugida;
1. Kiwango cha unywaji ( Idadi)
2. Aina za pombe (Ubora)
3. Unywaji wa kimataifa ( Vileo vya nje).
Sijui, watu wataweka wapi sura zao.
Karibu.